Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Kiukweli wanawake nawaona takataka tu aisee baada ya kuona video za jamaa yaani kila nikikutana na mwanamke barabarani mimi ni mwendo wa kuwatukana na kuwazodoa na pia nikikutana nao hospital wakati wa kuwatibu au kuwazalisha nawatukana au kuwapiga makofi tu yaani wanawake sijui wapoje aisee yaani ndiyo chanzo cha ushetani dunia mzima aisee

Fear woman hivi viumbe hawa ndiyo chanzo cha mabaya dunia mzima aisee yaani demu yupo kwa mshikaji anaikatia kabisa na kuililia kabisa halafu kumbe ni mke wa wake za watu aisee sasa sijajua waume zao wapo kati hali gani aisee halafu na ubaya zaidi aisee demu anamsifia mshikaji kabisa aiseee kwa ni special maneno ambayo hata mumewe hajawai kumuambia! Shame on you woman
Stop hast generalization to all women.
It's completely unfair
 
We jiulize mtoto wa Zuma Alikosa nini Hadi kuolewa mke wa 16 kwa mswati. Ni jambo la kushangaza sana
Matajiri huwa wanapeana watoto kuoa kama zawadi tu.

Mbona waziri fulani wa fedha katika nchi fulani aliwahi kumpa bosi wake zawadi ya mtoto aoe na jamaa akaoa(sikumbuki alikua ni mke wa ngapi lakini)
 
Baltazarisation imekuwepo sana ila hii ni too much.

Labda jamaa alikuwa arrogant, care less, foolish, too much pride, labda sex ni hobby kwake, i really dont know.

Utatembea na mke wa mtu mashuhuri kwa mara moja, roho itakuwa juu juu , kwa mara ya pili nafsi itakuaa inakusuta, ila kwa mara zaidi ya mara 10 alafu ni watu mashuhuri tofauti, then hapo kuna jambo katika ulimwengu wa fikra au hisia zako.

So kwa upande mwingine huyu jamaa namuweka katika lile kundi la serial killer ila yeye ni serial lover/dater.

Serial killer anaua watu hadi kumi kwa wiki na anaona kawaida sana. Siku akija kukamatwa na kuhojiwa kwa mara ya kwanza anasema yeye alitaka kuwaua tu maana wanastahili kufa ila akizidi kuchimbwa kimaswali utagundua huyu mtu aliwahi kuathirika kisaikolojia na watu wa kundi flani sasa akawa anawaaua ili kutuliza nafsi yake.

Wengi wa watu wa aina hii katika issue ya baltazarization, ni watu ambao wako very weak mentally na emotionally kupelekea kuwa easily disturbed kifikra na kutengeneza a permanent disorder katika ubongo wao na kutikisa kidogo mlongo longo wa mawasiliano kati ya akili na hisia zao.

We fikiria kwa ukuu,

Jamaa ana high paying job, ana bonge la mke, ana watoto watano wazuri, yeye sio pornstar, wala yeye sio tapeli ila anakula wanawake zaidi ya 400 alafu wengi wao ni wake washkaji na watu wazito wanaoweza kumpoteza mara moja na kibaya zaidi ana film anachokifanya.

Karibuni kwa michango yenu
nasikia jamaa ana undugu flani na P-DIDDY!!
 
Makamu wa Rais wa Guinea ya Ikweta, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar Ebang Engonga (54) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye Ofisi za Serikali na nyumbani kwa Ebang.

Ebang ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu Mdogo Mke wa Kaka yake, Binadamu yake, Dada wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mkuu wa Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Nchi hiyo na Mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Nchi hiyo.

Wengine walioonekana wakifanya mapenzi na Ebang kwenye video hizo ni Mke wa Mlinzi wake (Bodyguard), Mke wa Mchungaji wake, Wake wa Mawaziri kadhaa wa Nchi hiyo, Mke wa Mjomba wake ambaye ni Mjamzito, Marafiki 15 wa Mdogo wake wa kike na Wanawake wengine mbalimbali ambapo imeelezwa wote hao walionekana kuridhia video hizo kurekodiwa.

Ebang Engonga ni Mkurugenzi Mkuu Shirika la ANIF ambalo ni Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha la Equtorial Guinea linalohusika na kusimamia uchunguzi wa kifedha na kusimamia shughuli zinazolenga kudhibiti ufisadi wa kifedha Nchini humo.

Toa maoni yako.
 
Jamaa atakuwa na tatizo la kisaikolojia kitaalam linaitwa limenitoka kidogo hali iyo inapelekea kufanya kitu cha hatari chochote bila kuogopa nn kitatokea badae hata wakimuacha hapo ataendelea ingawa hatofanya tena na hao
 
nasikia jamaa ana undugu flani na P-DIDDY!!
Hahahahajajajahajajahah
Wegine wanasema huyu
20241105_061720.jpg
 
Kiukweli wanawake nawaona takataka tu aisee baada ya kuona video za jamaa yaani kila nikikutana na mwanamke barabarani mimi ni mwendo wa kuwatukana na kuwazodoa na pia nikikutana nao hospital wakati wa kuwatibu au kuwazalisha nawatukana au kuwapiga makofi tu yaani wanawake sijui wapoje aisee yaani ndiyo chanzo cha ushetani dunia mzima aisee

Fear woman hivi viumbe hawa ndiyo chanzo cha mabaya dunia mzima aisee yaani demu yupo kwa mshikaji anaikatia kabisa na kuililia kabisa halafu kumbe ni mke wa wake za watu aisee sasa sijajua waume zao wapo kati hali gani aisee halafu na ubaya zaidi aisee demu anamsifia mshikaji kabisa aiseee kwa ni special maneno ambayo hata mumewe hajawai kumuambia! Shame on you woman
Hao unaowaona takataka na aliyekuxaa yupo au hujazaliwa na mwanamke.
 
Back
Top Bottom