Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

hana akili, imeshajulika mwanamke anachepuka kwa utashi wake mwenyewe hakuna sababu ya mwanaume kuchepuka, kuna wanawake wa kikurya wanapigwa lakini haiwi sababu ya kuchepuka
 
Unatafuta Attention au? Wapi nimesema hao wanawake ni malaika?
 
Bahati mbaya sana katika video zote hizo walioziangalia wanadai Baltasar hakutumia kinga kwenye clips zote. Mahakama imemtaka kwanza apimwe kama ana gonjwa lolote la zinaa kabla utaratibu mwingine haujafuatwa.
Najaribu tu kufikiria, akutwe au asikutwe nao ugonjwa wowote; hivi watamshtaki kwa kosa gani? Hajabaka, sio yeye aliyesambaza hizo video isipokua wao wenyewe; kosa lake ni lipi?
 
Mimi binafsi napenda sana wanawake ila nikiwaza Ukimwi huwa nafunga breki.
Maamuzi ya kutumia kinga mara nyingi yapo mikononi mwa mwanaume ,ndio naana condom za kike zilitoweka sokoni fasta.

Wanawake wote niliotembea nao walikuwa tayari kufanya mapenzi bila kinga hii ina maana huwa hawaogopi??

Ukimwi huku mtaani ni kama haupo ila ukienda vituo vya aya dirisha la ukimwi ukaona msururu wa wanaochukua dawa ndio utajua kumbe huyu mdudu bafo yupo

Tafiti zinaonyesha walio kwenye ndoa ndio wako hatarini zaidi, hilo halina ubishi,case study Baltazar

Wakati unawaza ukichaa wa baktaxar waza kama ana maambukizi itakuwaje alafu rudi nyumbani tulia na mkeo/mumeo
 
Hata akiwa na virusi siyo wanawake wote walioruka naye watavipokea.

Balthazar sijui kama ni mwanaume wa kawaida au alikuwa anaongezea nguvu.

Wanaume.
 
Mkeo: Leo nimechelewa kutoka kazini boss alitupa kazi over time

Boss na mkeo: (kazi yenyewe sasa)
View attachment 3144153
... imagine mwanamke, wako, bosi wake, BATA'ZALI, ni kiongozi wa TAKUKURU na amemkuta mkeo na kidhibiti cha rushwa, halafu mkeo ni kifaa ...!
😅 ... MAZINGIRA TOSHA YA RUSHWA YA NGONO KWA RIDHAA!
 
Nashangaa watu wakimsema huyu mwamba vibaya.
Wale wanawake wote ni watu wakubwa kiumri,kimwili, vyeo na fedha na wengi Wana waume zao.
Na wanawake hao wanajua kabisa ni mume wa mtu na baba wa familia.

Wote wale walitoa ushirikaino mzuri kwenye kutengeneza hizo video.
Ajabu wao wanawake, wamekwekwa kwenye kundi la watu wanao stahili kuonewa huruma.
Wao sio wakosaji, wao ni dhaifu!!!
Na Kwamba huyu mwanaume anaonekana shetani,
halafu wale wanawake 400 ni malaika!​

Kila mtu ana uhuru wa kuandika anacho taka kuandika, ila huna uhuru wa kubadirisha ukweli.
Pale kuna shetani wa kiume mmoja, mashetani wa kike 400
Hii ya kuandika kutetea uovu wa wanawake kwa kutaka kuonekana wewe ni muungwana flani wakati kiukweli wewe nawe ni wale wale ni vile mambo yako hayajulikani bado!

#Justice for Baltasar Ebang Engonga.
 
Naam
 

Mwanamke akichepuka kosa ni lake mwenyewe mwanamke na si lawama atupiwe mwanamme ,unataka akupe muda ada za watoto ,kodi ya nyumba ,fedha za kulisha familia itapatikana wapi? Kazi Lukwili kumi kasoro ushaamka upo road kupambana kurudi saa tano usiku ,home unashinda mara moja moja.

Anataka mtu mwenye muda anayeshinda kijiweni ambaye pia hana hela ,kazi ni kutafuta mkongo ili ampige show show aende kumdharau mmewe.
 
Kuna video imeachiwa hivi karibuni, anaonekana mwanamke anayeonekana kuwa na mfanano na mke wa Mr.Engonga Baltasar nae akiwa anagawa uroda kwa njemba nyingine.

Inadaiwa mke wa Engonga nae ni cheat mkubwa kwa mmewe. So mizani ime-balance, guys we need not peel off eyes on them videos, we can 't be eejits!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…