toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Yeah man I second you.the game is brutal but still fair.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah man I second you.the game is brutal but still fair.
hana akili, imeshajulika mwanamke anachepuka kwa utashi wake mwenyewe hakuna sababu ya mwanaume kuchepuka, kuna wanawake wa kikurya wanapigwa lakini haiwi sababu ya kuchepukaNa kama hiyo haitoshi watajitokeza Wanawake wenzie na wanaume washenzi(simps) kumtetea mwanamke huyo wakidai kwamba jamaa alikuwa hampi muda mke wake mpaka akachepuka na hivyo yeye ndio mwenye makosa na sio mke wake.
Jamii yetu imeshatengeneza system ya kujustify upuuzi wote wote unaofanywa na mwanamke na kurudisha lawama zote kwa mwanaume.
Unatafuta Attention au? Wapi nimesema hao wanawake ni malaika?Kwa hiyo kumbe kwenye comment yako ya awali uliandika kwa kuhisi tu kwamba jamaa ndio alikuwa nategesha camera kwa Siri bila hao wanawake kujua??? Kwamba akilini mwako uliamini matukio ya kipuuzi kurekodi uchafu kama huu mwanamke hawezi kufanya kwa hiyari yake mwenyewe sio?
Well, watu kama wewe ambao siku zote mnaamini wanawake wako morally upright kwenye jamii yetu ni tatizo jingine...!!
Naomba kwanzia Leo uondoe hiyo Imani uliyonayo ya kuwaona wanawake ni kama malaika, hata wao pia ni wachafu tu kama walivyo wanaume na yapi matukio mengi tu ya kishenzi huwa wanafanya kwa hiyari wenyewe.
Ona sasa tayari ulikuwa umeshatengenza assumptions zako kwamba hao wanawake wamerekodiwa bila yao kujua na wakati huo huo huyo jamaa ukimuona ndio muovu pekee kwenye hili tukio na hao wanawake ni victims...😏😏 Mna matatizo sana nyie simps
Najaribu tu kufikiria, akutwe au asikutwe nao ugonjwa wowote; hivi watamshtaki kwa kosa gani? Hajabaka, sio yeye aliyesambaza hizo video isipokua wao wenyewe; kosa lake ni lipi?Bahati mbaya sana katika video zote hizo walioziangalia wanadai Baltasar hakutumia kinga kwenye clips zote. Mahakama imemtaka kwanza apimwe kama ana gonjwa lolote la zinaa kabla utaratibu mwingine haujafuatwa.
Attention kwa mtu mwenye akili nyepesi kama zako???Unatafuta Attention au? Wapi nimesema hao wanawake ni malaika?
The throw didn't land, acha kujikuta basi.Attention kwa mtu mwenye akili nyepesi kama zako???
Samahani comment niliyoiandika iko above your understanding capacity.
... imagine mwanamke, wako, bosi wake, BATA'ZALI, ni kiongozi wa TAKUKURU na amemkuta mkeo na kidhibiti cha rushwa, halafu mkeo ni kifaa ...!Mkeo: Leo nimechelewa kutoka kazini boss alitupa kazi over time
Boss na mkeo: (kazi yenyewe sasa)
View attachment 3144153
Hahahaaa wana JF katika ubora wao. Kila trend in ID yake. Kuanzia Muuza madafu wa Ikulu hadi Chura kiziwi 😀😀Waacheni watoto wazuri wote waje kwangu.
HahahaWaacheni watoto wazuri wote waje kwangu.
NaamNashangaa watu wakimsema huyu mwamba vibaya.
Wale wanawake wote ni watu wakubwa kiumri,kimwili, vyeo na fedha na wengi Wana waume zao.
Na wanawake hao wanajua kabisa ni mume wa mtu na baba wa familia.
Wote wale walitoa ushirikaino mzuri kwenye kutengeneza hizo video.
Ajabu wao wanawake, wamekwekwa kwenye kundi la watu wanao stahili kuonewa huruma.
Wao sio wakosaji, wao ni dhaifu!!!
Na Kwamba huyu mwanaume anaonekana shetani,
halafu wale wanawake 400 ni malaika!
Kila mtu ana uhuru wa kuandika anacho taka kuandika, ila huna uhuru wa kubadirisha ukweli.
Pale kuna shetani wa kiume mmoja, mashetani wa kike 400
Hii ya kuandika kutetea uovu wa wanawake kwa kutaka kuonekana wewe ni muungwana flani wakati kiukweli wewe nawe ni wale wale ni vile mambo yako hayajulikani bado!
#Justice for Baltasar Ebang Engonga.
🤓🤓 Mbona umeshangaa!?Duh🧐
Na kama hiyo haitoshi watajitokeza Wanawake wenzie na wanaume washenzi(simps) kumtetea mwanamke huyo wakidai kwamba jamaa alikuwa hampi muda mke wake mpaka akachepuka na hivyo yeye ndio mwenye makosa na sio mke wake.
Jamii yetu imeshatengeneza system ya kujustify upuuzi wote wote unaofanywa na mwanamke na kurudisha lawama zote kwa mwanaume.