Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

Niliwahi kusikia na banana republic hizi mambo zinafanyika sana japo wao Huwa hawajirekodi
Hatuna uhakika kama hawaji record mkuu; ni vile police wetu wameisha kamata na kupekua sana naniliu za wapinzani; ije itokee bahati mbaya morani wa serikali waje wakamate na kupekua hawa wa chama twawala; wallah tutakimbiana humu
 
400 katika nchi kama Guenea yenye populatio ya wanawake 3M plus inatosha sana ku generalise
Bahati mbaya sana katika video zote hizo walioziangalia wanadai Baltasar hakutumia kinga kwenye clips zote. Mahakama imemtaka kwanza apimwe kama ana gonjwa lolote la zinaa kabla utaratibu mwingine haujafuatwa.
 
Kiukweli wanawake nawaona takataka tu aisee baada ya kuona video za jamaa yaani kila nikikutana na mwanamke barabarani mimi ni mwendo wa kuwatukana na kuwazodoa na pia nikikutana nao hospital wakati wa kuwatibu au kuwazalisha nawatukana au kuwapiga makofi tu yaani wanawake sijui wapoje aisee yaani ndiyo chanzo cha ushetani dunia mzima aisee

Fear woman hivi viumbe hawa ndiyo chanzo cha mabaya dunia mzima aisee yaani demu yupo kwa mshikaji anaikatia kabisa na kuililia kabisa halafu kumbe ni mke wa wake za watu aisee sasa sijajua waume zao wapo kati hali gani aisee halafu na ubaya zaidi aisee demu anamsifia mshikaji kabisa aiseee kwa ni special maneno ambayo hata mumewe hajawai kumuambia! Shame on you woman
Si mnatwambia tutafute hela? Sasa mke wa IGP alikosa nini?
 
Lakini kuna mdau humu Jf aliuliza kuwa ni nani aliyeiaminisha dunia kuwa kuzini ama kufanya mapenzi ni uchafu na ni ushenzi?

Fikiria kwa kutulia basi bila kuweka mihemko ama wivu, anapochapwa huyo mwanamke anakuwa kapunguza nini kwa nafsi ya mtu mwingine?

Na kama ni uchafu, basi elezea kwa ufanisi aina ya uchafu huo na namna unavyoweza kuleta madhara kisayansi.

Wakati ukijibu hili swali zingatia nature inasemaje kuhusu uzazi ama reproduction.
 
Kosa la mmoja haliwezi kuwa kosa la kila mmoja, tunakosea na tunajifunza kutokana na makosa yetu. Mungu akisaidie kizazi chetu kiumalize mwendo salama
 
Kiukweli wanawake nawaona takataka tu aisee baada ya kuona video za jamaa yaani kila nikikutana na mwanamke barabarani mimi ni mwendo wa kuwatukana na kuwazodoa na pia nikikutana nao hospital wakati wa kuwatibu au kuwazalisha nawatukana au kuwapiga makofi tu yaani wanawake sijui wapoje aisee yaani ndiyo chanzo cha ushetani dunia mzima aisee

Fear woman hivi viumbe hawa ndiyo chanzo cha mabaya dunia mzima aisee yaani demu yupo kwa mshikaji anaikatia kabisa na kuililia kabisa halafu kumbe ni mke wa wake za watu aisee sasa sijajua waume zao wapo kati hali gani aisee halafu na ubaya zaidi aisee demu anamsifia mshikaji kabisa aiseee kwa ni special maneno ambayo hata mumewe hajawai kumuambia! Shame on you woman
Pole...unalinua hilo Leo🤣🤣🤣🤣
Nikiwaambia hapa wanawake wee gegeda tupa kule mnachukulia utani
 
Back
Top Bottom