Mwanamke mmoja tu? Acheni masihara mazee!

Mwanamke mmoja tu? Acheni masihara mazee!

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,899
Reaction score
3,688
Niaje wazeiyaaah....
Mko Bwaxx...

EBANA SAWA :
Mwanaume na akili timamu zilizo timamuka.... KWELI unataka kusema unaweza kuwa na mwanamke mmoja tuu maisha yako yote.

Kwahiyo kama demu kakariri kifo cha mende basi kila siku mtakua mende kitandani....
Kama papuchi ina jaa maji basi milele na milele utakua mtu wa kuogelea...

This is BULL SHIIT...
Ndio Maana sie (ma yakhe) tunaruhusiwa kuvuta up to four concurrent wives mazee... Unadhan kwann... Kubadili taste mazee....

Last sensa (2012) inaonesha kuwa females are 60% compared to 40% of males in Tanzania (source website ya NIDA na RITA)

Mwanaume una ng'ang'ana na kijanamke kimoja, hao 20% extra waende kwa nani????? Watumie toys...

Mazee acheni UBOYA.....
Huwezi kuwa na mwanamke mmoja tu unakomaa nae kila cku anakupiga mizinga, anakuletea nyodo, hana manjonjo kwa kitanda, hakatiki vile namna sie tunapenda...
WAKATI kuna LUNDO la wanawake wazuri tu huko mtaani, vyuoni, hospital, sokoni, club, kanisani, masjid, stand, airport mpaka jeshin....

ETI wanawake mliopo humu nyie mnaamini kwamba sie tunaweza kukomaa tu na kanamke kamoja kweli....????

May be tunaweza... Lakin tatzo LADHA.... LADHA... Tunatafuta LADHA... Tofauti...

Em wote kwa pamoja semeni "LADHA"

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Hisia ndio umuingiza mtu shimoni, hisia ndio umpa mtu faraja.
 
Dah... "Unamg'ang'ania mwamke mmoja tu kwani mama yako mzazi huyo...mama mzazi ndiyo yuko mmoja tu" - Sheikh Kipozeo
 
Mwanamoke mmoja tu unagongewa je hao wanne sindio utalea watoto wa mwanaume mwenzako
 
Binadamu akitaka jujustify analolitaka atakuja na sababu zote.
 
Sababu zina ukweli lakin...
Dada Sky Eclat UMEOLEWA????

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Unapokuwa kwa wa pili na yule wa kwanza kuna anaemshuhulikia baada hapo ni full kushare VVU kwa raha bila uchoyo kabisa.
 
Back
Top Bottom