Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,411
- 4,777
Hapo umenena madame.Mmmh ngoja vidume waje....kwa mimi kati ya mume mnene na mwembamba, nafikiri mwembamba ni bora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umenena madame.Mmmh ngoja vidume waje....kwa mimi kati ya mume mnene na mwembamba, nafikiri mwembamba ni bora.
Mapenzi ni zaidi ya unene au wembamba wa mtu
Mapenzi ni hisia kutoka kwa moyo kwa yule uliomdondokea hata kama ni mweusi au mweupe
Utamu wa mapenzi anaujua yule anayependa bila kujalisha urefu au ufupi wa mtu, kabila wala dini
Mapenzi ni pale moyo wako unapokubali pasi na shaka kuwa unashiba kuwa na huyo uliomchagua
Nauliza jamani, kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwembamba na mnene kwenye mahusiano? kuna rafiki yangu tumebishana sana mpaka kaniudhi, yeye anasema wasichana wembamba ni watamu kimapenzi, wakati mimi nimeishawahi kuwa na msichana mnene na mwembamba kwenye mahusiano, wote niliona watamu. ila cha ajabu alisema kuwa kuna ushahidi wa kisayansi juu ya nani mtamu na nani sio mtamu, bado nilimbishia. je? kuna mtu ana wazo tofauti na hilo. au yeye yupo sahihi?
Mmmh ngoja vidume waje....kwa mimi kati ya mume mnene na mwembamba, nafikiri mwembamba ni bora.
Mmmh.... Utamu wa pipi ni mate yako tuu...!
Nauliza jamani, kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwembamba na mnene kwenye mahusiano? kuna rafiki yangu tumebishana sana mpaka kaniudhi, yeye anasema wasichana wembamba ni watamu kimapenzi, wakati mimi nimeishawahi kuwa na msichana mnene na mwembamba kwenye mahusiano, wote niliona watamu. ila cha ajabu alisema kuwa kuna ushahidi wa kisayansi juu ya nani mtamu na nani sio mtamu, bado nilimbishia. je? kuna mtu ana wazo tofauti na hilo. au yeye yupo sahihi?
Mmmh.... Utamu wa pipi ni mate yako tuu...!
Mimi napenda waliojazia "neema za allah". Mcheki muhubiri huyu pia anayo majibu: https://www.jamiiforums.com/mahusia...eh-sheikh-kasahau-alichokuwa-anahubiri-3.htmlNauliza jamani, kuna tofauti gani kati ya mwanamke mwembamba na mnene kwenye mahusiano? kuna rafiki yangu tumebishana sana mpaka kaniudhi, yeye anasema wasichana wembamba ni watamu kimapenzi, wakati mimi nimeishawahi kuwa na msichana mnene na mwembamba kwenye mahusiano, wote niliona watamu. ila cha ajabu alisema kuwa kuna ushahidi wa kisayansi juu ya nani mtamu na nani sio mtamu, bado nilimbishia. je? kuna mtu ana wazo tofauti na hilo. au yeye yupo sahihi?
Wembaba wako flexible kwa mastaili kibao, wanene hasa wenye makalio makubwe kwa staili zingine hawapati ile deep penetration ya ukuni kwasababu yanazuia hasa kwa style fulanifulani!
atiii nn