Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Ongozana siku moja na aliye fungasha wowowo likafungashika uone manjonjo mtaani

hapo mpaka msafara wa ra.isi utapata ajali!!! mi sijui huu uhondo unatokeaga wapi bwana kweli wanaume kazi tunayo!!!
 
hapo mpaka msafara wa ra.isi utapata ajali!!! mi sijui huu uhondo unatokeaga wapi bwana kweli wanaume kazi tunayo!!!



Mfano hili fulushi lilisababisha mimi kupata ajari na guta kwa sababu ya kushangaa
 
Kuna kumwangalia mtu kwa kumshangaa, yaani anaonekana kituko na jinsi alivyovaa haendani na mwili wake. So unabidi kusoma body language.
 
Tobaaaaaaa!!!

Nikipata wa hivi lazima nikubali anitawale ili nimfaidi vizuri.

Mi kama nimepishana nae lazima nibadilishe mwelekeo na kuanza kumfuata ili nifaidi vizuri, akipanda daladala ninae hapo ndo full kubambia
 
watu kama nyie hamtakiwi katika jamii kwani mnakanusha maumbile ya Mungu aliyowaumbia watu kwani wao ni mapambo ya Mungu na ni Maua ya Mungu iweje wewe useme kijimama kilichojaziajazia ovyo bila mpango umenikeraje? yani nilikuwa nakutaegemea my dia kwa point zako nzuiri leo umeniangusha ile mbaya

 
nyie mashababi hebu toeni uzoefu wenu.kati ya mwanamke mwembamba au mnene yup anagegedeka vizuri yup mt..... mu kwenye game
 
jinsi nilivyo kama joket kuuliza c ujinga hakuna asiyewaza dhambi
 
mwanaume wangu alikua na mwil kiasi hvyo nilikua naenjoy nae asiwe mnene wala mwembamba
 
mwanaume wangu alikua na mwil kiasi hvyo nilikua naenjoy nae asiwe mnene wala mwembamba

Kila mtu Ana choice yake, kuna wengine wanene huwaambii kitu kwa mwembamba, na kuna wadada wanene wengi wanapenda wembamba ili kufika eneo husika, sema wapo wanene wanapenda wanene wenzao, ni choice ya mtu, kama wewe unavyopenda size ya kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…