Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Hivi tukibet hapa kati ya mwanamke mnene na vimbaumbau nani watashinda kwa kupendwa? Mwanamke mnene anapendwa na wanavutia labda hukutane na yaliyo na ulemavu wa unene! Tunapoongelea mwanamke mnene tunaongelea Chura, huno, paja, guu ndo chakula ya muzee! Vimbaumbau utakula wapi sasa??
 
Wengine ndio maradhi yetu the bigger the better


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mimi sipendi mwanaume mwenye kitambo...napenda mwanaume Slim...Yaaani ukiwa kibonge usinitongeze...navutiwa Sana na wanaume wenye miili ya kawaida Kama my luv wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi hawapendi wenzi wenye vitambi ila kuna wakati mazingira yanalazimisha. Fikiri wakati mnaingia ndoani alikuwa fresh ila akapata kitambi ndoani, utamwacha? Inabidi ukomae kibishi tu.
 
Kuna miili migumu hata ufanye diet haupungui unakua ndo mwili asilia
Kama mimi hapa asili yangu ni mnene labda nipunguze hiki kitambi. Ila nikikonda natisha aisee. Hivi majuzi nilienda nyumbani nikawa naangalia picha zangu za chuo (nilipungua sana, ni kama nilikuwa nusu ya hapa nilipo sasa) kidogo nijikatae
 
Kama mimi hapa asili yangu ni mnene labda nipunguze hiki kitambi. Ila nikikonda natisha aisee. Hivi majuzi nilienda nyumbani nikawa naangalia picha zangu za chuo (nilipungua sana, ni kama nilikuwa nusu ya hapa nilipo sasa) kidogo nijikatae
Hahaha kuna muda mtu unafurahia unene wako unajiona ni full package

Shida inakuja kwa walimwengu jaman..

Jitahidi tutoe kitambi tu
 
Wow Mpende kibonge mwenzangu...Mpendane kwelikweli.wabaya waulizane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chi chi chibonge Aah chi chi chi chibonge Aah minyama tu, Akipita minyama Anatingisha minyama tu. [emoji444]
Hhah umenikumbusha ex wangu alikua ananiimbia huo wimbo nikifakamia vyakula. Good memories. Wimbo wa Uno yeye alikua anaimba "tumbo" [emoji23] everybody say tumbo [emoji23][emoji23]

Sent From Galaxy S9
 
Ufanye hivyo umuoe huyo manzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…