Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,806
Kwa matumizi yako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa matumizi yako tu
Shukrani MkuuBeautiful depends on eyes of the beholder usikalili vitu kwan mzungu ndo nani hasa mm napenda sana wanawake vibonge yani nikawaona tu mkuyenge unakaa mguu sawa
Ninae tayariTafuta mnene mwenzio [emoji23]
Kuna miili migumu hata ufanye diet haupungui unakua ndo mwili asilia
Ushanipata bdo kunipokea tuNakuhitaji wewe
Watu wengi hawapendi wenzi wenye vitambi ila kuna wakati mazingira yanalazimisha. Fikiri wakati mnaingia ndoani alikuwa fresh ila akapata kitambi ndoani, utamwacha? Inabidi ukomae kibishi tu.Mimi sipendi mwanaume mwenye kitambo...napenda mwanaume Slim...Yaaani ukiwa kibonge usinitongeze...navutiwa Sana na wanaume wenye miili ya kawaida Kama my luv wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaolewa bado? Huyo BF kaishakufanya kipozeoKabla sijapungua kitambi...BF wangu nilikua nikimwambia ninaumwa anasema kapime mimba..maana Hilo tumbo tumbo...Basi nlikua nacheka.....Ila kitambi noma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna miili migumu hata ufanye diet haupungui unakua ndo mwili asilia
Hahhaha ndio imani potofu hizoKweli kabisa mkuu, ila wemgine wanadhani kitambi ni alama ya kutoboa kimaisha. 😀😀😀😀😀
Kama mimi hapa asili yangu ni mnene labda nipunguze hiki kitambi. Ila nikikonda natisha aisee. Hivi majuzi nilienda nyumbani nikawa naangalia picha zangu za chuo (nilipungua sana, ni kama nilikuwa nusu ya hapa nilipo sasa) kidogo nijikataeKuna miili migumu hata ufanye diet haupungui unakua ndo mwili asilia
Wako sio wa asili?!Kuna unene wa asili hapo inakuwa ngumu
Kupungua .
Nilianza kutumia asubuhi lemon tangawizi na garlic nmeacha tayari naona nitapungua tu !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kuna muda mtu unafurahia unene wako unajiona ni full packageKama mimi hapa asili yangu ni mnene labda nipunguze hiki kitambi. Ila nikikonda natisha aisee. Hivi majuzi nilienda nyumbani nikawa naangalia picha zangu za chuo (nilipungua sana, ni kama nilikuwa nusu ya hapa nilipo sasa) kidogo nijikatae
Wow Mpende kibonge mwenzangu...Mpendane kwelikweli.wabaya waulizaneKuna kibinti chembamba bala kiliingia kwenye kumi na nane zangu nikamla kimasiala.
Aise nilichokutana nacho sio bwawa tena ni bahari ya hindi.m richa ya mzigo niliio ubeba kwenye trouser yangu.
Nashukuru kibonge wangu wa sasa hata kama ana kakitambi ka kiaina na mzito kuzungusha nyonga lakini ananiburudisha kwenye 6 kwa 6.
Naomba Mungu nisipate mawazo ya kibaharia nimuweke ndani one day.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio asili yaani nilikuwa mwembamba hatari nmenenepa 2018 tu hapoWako sio wa asili?!
Hhah umenikumbusha ex wangu alikua ananiimbia huo wimbo nikifakamia vyakula. Good memories. Wimbo wa Uno yeye alikua anaimba "tumbo" [emoji23] everybody say tumbo [emoji23][emoji23]Chi chi chibonge Aah chi chi chi chibonge Aah minyama tu, Akipita minyama Anatingisha minyama tu. [emoji444]
Kabisa mkuuHahhaha ndio imani potofu hizo
Ufanye hivyo umuoe huyo manziKuna kibinti chembamba bala kiliingia kwenye kumi na nane zangu nikamla kimasiala.
Aise nilichokutana nacho sio bwawa tena ni bahari ya hindi.m richa ya mzigo niliio ubeba kwenye trouser yangu.
Nashukuru kibonge wangu wa sasa hata kama ana kakitambi ka kiaina na mzito kuzungusha nyonga lakini ananiburudisha kwenye 6 kwa 6.
Naomba Mungu nisipate mawazo ya kibaharia nimuweke ndani one day.
Sent using Jamii Forums mobile app