My friend nlikua nakimbia asubuhi sakumi nambili kilomita tatu na kupunguza wanga...nlikua na kilo 95 Saiv 80 japo target ni 65...so bado long journeyUlipunguaje?
Hawapendi vitambi hao walio olewa. Ila wengi ni uzazi...Kiukweli kitambi kinapunguza sana mvuto wa mwanamke. Ila siku hizi tatizo ni kubwa hasa kwa wanawake walioolewa. Nadhani wanaona wapo ndoani hivyo wanaridhika kwa kusema 'nijihangaishe kupunguza kitambi cha nini, kwani natafuta mchumba!'
Hongera kilo 5 sio mchezoMy friend nlikua nakimbia asubuhi sakumi nambili kilomita tatu na kupunguza wanga...nlikua na kilo 95 Saiv 80 japo target ni 65...so bado long journey
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli kumuacha sababu ya kitambi itakuwa taaabuWatu wengi hawapendi wenzi wenye vitambi ila kuna wakati mazingira yanalazimisha. Fikiri wakati mnaingia ndoani alikuwa fresh ila akapata kitambi ndoani, utamwacha? Inabidi ukomae kibishi tu.
Baba Joseph tuliza munkari na kujifanya Shee Shariff majini unatabiri maisha ya watuHujaolewa bado? Huyo BF kaishakufanya kipozeo
Hakuna , halafu kiribatumbo kinaonyesha jinsi gani ulivyokua na bad eating habitKabisa mkuu
Kitambi ni useless feature kwa mwanadamu, ukichana kutumika katika kufutia kioo cha simu sidhani kama kina matumizi mengine.
Nendeni mkakate utombo 🤣Im kidding.Kwahyo sisi wanene tuende wapi ss
Umeolewa?Ucha uzinzi.
Sent From Galaxy S9
Huyo ex wako kiboko ...mpaka nimecheka... Tumbo everybody say tumbo...mtakuwa mmeachana hivi karibuni...maana hizo nyimbo Ni currentHhah umenikumbusha ex wangu alikua ananiimbia huo wimbo nikifakamia vyakula. Good memories. Wimbo wa Uno yeye alikua anaimba "tumbo" [emoji23] everybody say tumbo [emoji23][emoji23]
Sent From Galaxy S9
Ukilo hovyo week mbili TU ukipima unashangaaa umeadd kilo 5... Unaanza upya na diet duuhSisi wenye miili minene tuna tabu sana ukijisahau ukala hovyo mwezi tuu halafu urogwe usifanye mazoezi unaweza kulia siku ukipima uzito
Huwa tunafurahia company yenu wakati wa kufanya mazoezi. Tangu nipate ka kibonge flani kalikoniomba kujoin na mimi kwenye mazoezi, morali ya mazoezi imeongezeka maradufu.Sisi wenye miili minene tuna tabu sana ukijisahau ukala hovyo mwezi tuu halafu urogwe usifanye mazoezi unaweza kulia siku ukipima uzito
Ilikua akiniimbia hvyo najifanya kununa ila deep down I was happy. Alifariki kwa ajali ya gari December last year [emoji26].Huyo ex wako kiboko ...mpaka nimecheka... Tumbo everybody say tumbo...mtakuwa mmeachana hivi karibuni...maana hizo nyimbo Ni current
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nna 58kg lakini bado najiona bonge [emoji31] nataka niwe kama Mange [emoji23]
Mange yupo vizuri aisee ni role model kwetu tunaohitaji kuloose weightMie nna 58kg lakini bado najiona bonge [emoji31] nataka niwe kama Mange [emoji23]
Sent From Galaxy S9