Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Kiukweli kitambi kinapunguza sana mvuto wa mwanamke. Ila siku hizi tatizo ni kubwa hasa kwa wanawake walioolewa. Nadhani wanaona wapo ndoani hivyo wanaridhika kwa kusema 'nijihangaishe kupunguza kitambi cha nini, kwani natafuta mchumba!'
Hawapendi vitambi hao walio olewa. Ila wengi ni uzazi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu
Kitambi ni useless feature kwa mwanadamu, ukichana kutumika katika kufutia kioo cha simu sidhani kama kina matumizi mengine.
Hakuna , halafu kiribatumbo kinaonyesha jinsi gani ulivyokua na bad eating habit
 
Hhah umenikumbusha ex wangu alikua ananiimbia huo wimbo nikifakamia vyakula. Good memories. Wimbo wa Uno yeye alikua anaimba "tumbo" [emoji23] everybody say tumbo [emoji23][emoji23]

Sent From Galaxy S9
Huyo ex wako kiboko ...mpaka nimecheka... Tumbo everybody say tumbo...mtakuwa mmeachana hivi karibuni...maana hizo nyimbo Ni current

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wenye miili minene tuna tabu sana ukijisahau ukala hovyo mwezi tuu halafu urogwe usifanye mazoezi unaweza kulia siku ukipima uzito
Huwa tunafurahia company yenu wakati wa kufanya mazoezi. Tangu nipate ka kibonge flani kalikoniomba kujoin na mimi kwenye mazoezi, morali ya mazoezi imeongezeka maradufu.
 
Back
Top Bottom