Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Ananipenda sanaaa,niko nae kwa kumuonea huruma tuu yan,ila hanivutii kabisaaaa..anapenda kuvaa vi kaptura,sasa anajibanaa ili asionekane kibonge,kuna siku nkamwambia mama utakuja kunijambia mbele za watu ,mara avae limkanda tumbon et la kupunguza tumbo,yaan tunaenda date anahema juu juu,sasa raha gan hyo,sasa hyo bleach ndo kaharib kabisa ,nmemwambia asije kwangu na bleach,kabak anatoa macho tu,tatzo umri sijui,akil hana kabisa,juz siku ya wajinga mim nilisahau,akanidanganya kitu kikubwa kwel af badae et leo siku ya wajinga,nkasema hiv mi na date na kichaa ama
So funny
 
Aise hili ni janga la taifa. Ni kweli wanawake wanene hawana steam kabisa. Ulichosema nakibariki 100%. Hawa wanapendeza tu kuwa side chick ila ukiweka ndani unaweza kujihisi una upungufu wa nguvu za kiume kumbe ni wao. Hawafai kukumbatia, usiku hamuwezi kushare shuka, kitu ni mbuyu.

Haki naapa kinachonitoa nje ya ndoa yangu ni unene wa mke wangu. Kipindi namchumbia alikuwa tu wastani japo alionesha kuwa na dalili za unene, akajifanya nae haupendi atafanya mazoezi. Tangu nimemuhakikishia maisha hataki kusikia neno mazoezi wala balance diet, michips, miwali anafakamia kama mchwa mpaka huwa nasikitika hivi huyu ana mpango gani?

Kuna mamake akija ananilaumu vipi mbona unamwacha ananenepa hivi? Namuuliza vipi mama nimshindishe na njaa? Yaani kosa mwanangu ningekuwa nishapiga chini ila nimenasa, mwanangu nampenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu inauma sana hiyo kitu
 
Leo wembamba tumepewa kipaumbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni wewe mwenye hivi viatu ?
tapatalk_1586062788002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilo me nahisi ni mifupa sijui 😂
Me nna 56 (na umri unaruhusu) ila sio kimbaumbau....nna nyama za kumpita Mange.
Inategemeana na umbile la mtu,, ongeza kidogo mdogo wangu jamani

Kiukweli kabisa kutoka moyoni ningekuwa dume chini ya 70 sikukuli
 
Lol basi vibonge tuna kaziiii ..
lakini nanyie wanaume jamani si mnasemaga vibonge watamu au? ? Jamani jamani!


Cc Smart911
Atakupenda ila tendo lenyewe halitampa anachokitaka. Kwa hiyo atatafuta wa kumpa japo hampendi... ... hivi unajua wanaume tunajuana ee.
Wembamba size flani amazing (hapa sijaongelea vimbaumbau plz) wana fleva zao bn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Smart911 pita hapa tasavali
Unene uwe Wa kias ndo mzurii mana Nina experience nlikua na demu wngu kimbau mbau aiseh kina cha kutosha,huku mifupa inaniumiza aiseeh full stresses...!!! Halafu kalikua na mdomo hatari kwahio ukichanganya yt hayo unachanganyikiwa [emoji16][emoji16][emoji16] wanene wana utam fulan hiv amazing style zote hawaumizii,nyama zile znasevu SNA.......

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanawake na wanaume unene uliopitiliza si afya
#Binafsi naogopa unene kwa sababu kuna risk nyingi zinazoambatana na unene kuliko wembamba

Kisukari
Pressure
Kukosa nguvu za kiume
Kuziba kwa mirija ya uzazi hasa wanawake
Na mengine mengi

Unaambiwa hivi
#Kula chakula kama dawa kabla hujaanza kula dawa kama chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah. .too much of anything is harmful. . Unene wastani wenye shepu fulani hivi isiyochosha kukulwa


Cc Smart911
Kwa wanawake na wanaume unene uliopitiliza si afya
#Binafsi naogopa unene kwa sababu kuna risk nyingi zinazoambatana na unene kuliko wembamba

Kisukari
Pressure
Kukosa nguvu za kiume
Kuziba kwa mirija ya uzazi hasa wanawake
Na mengine mengi

Unaambiwa hivi
#Kula chakula kama dawa kabla hujaanza kula dawa kama chakula

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ass too fatty niggaz wanna flat screen

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Back
Top Bottom