Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

So funny
 
Pole mkuu inauma sana hiyo kitu
 
Kilo me nahisi ni mifupa sijui πŸ˜‚
Me nna 56 (na umri unaruhusu) ila sio kimbaumbau....nna nyama za kumpita Mange.
Inategemeana na umbile la mtu,, ongeza kidogo mdogo wangu jamani

Kiukweli kabisa kutoka moyoni ningekuwa dume chini ya 70 sikukuli
 
Lol basi vibonge tuna kaziiii ..
lakini nanyie wanaume jamani si mnasemaga vibonge watamu au? ? Jamani jamani!


Cc Smart911
Atakupenda ila tendo lenyewe halitampa anachokitaka. Kwa hiyo atatafuta wa kumpa japo hampendi... ... hivi unajua wanaume tunajuana ee.
Wembamba size flani amazing (hapa sijaongelea vimbaumbau plz) wana fleva zao bn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Smart911 pita hapa tasavali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanawake na wanaume unene uliopitiliza si afya
#Binafsi naogopa unene kwa sababu kuna risk nyingi zinazoambatana na unene kuliko wembamba

Kisukari
Pressure
Kukosa nguvu za kiume
Kuziba kwa mirija ya uzazi hasa wanawake
Na mengine mengi

Unaambiwa hivi
#Kula chakula kama dawa kabla hujaanza kula dawa kama chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah. .too much of anything is harmful. . Unene wastani wenye shepu fulani hivi isiyochosha kukulwa


Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana na umbile la mtu,, ongeza kidogo mdogo wangu jamani

Kiukweli kabisa kutoka moyoni ningekuwa dume chini ya 70 sikukuli
Ulivyo amka leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa jinsi nilivyo siitaji hata kuongezeka kwa sasa
 
Ass too fatty niggaz wanna flat screen

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…