Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

Si unajua wembamba hawana mvuto sasa akipata mwanaume nae ndo hapo hapo anang'ang'ania na kubambika mimba

Hujakutana na wanawake wembamba wewe Fidel80 huyo itakua kakondea shida mvuto atautoa wap lakin wenye wembamba na urembo wetu plus kujua thaman yetu hatuna habarii!! Huchok kutuangalia
 
Mimi mwenyewe nakubali sana mademu mamiss ila shepu iwepo na msuli wa kueleweka pajani.

Midemu minene radha hakuna wala sistuki.
 
Thread ina watu ambao sijui wamepotelea wapi. .
 
Mm binafsi napenda sana mwanamke mwenye ASS.ET ya kutosha,huwa wananipa raha saaaana.Mnaopenda mamodel nyie pendeni tu,ila mm hapana
 
Wembamba wazuri jamani alafu tamuuuuuuuu sana wanene duuuu awe amevaa nguo.
 
Hapo nikweli wembamba wako simple sn ila wanamaringo flan pia siyo mbovu nawakubali sn
 
Awe mwembabaaa km Flavian matata ili nimkunjee mikunjoo yote ilaaa mnene km mama terry hafai kujikunjaa km sabaa
 
Wadau,

Mimi nimekuwa na mahusiano na wasichana wanene na ninawapenda mno kuliko wembamba. Lakini sielewi kwanini wa wengi wanapenda wasichana wembamba.

Jamani anayefahamu naomba anifahamishe yupi mtamu zaidi, naomba mwenye experience na wadada wembamba ndio ajibu, wewe kama hujui pita kimya kimya dharau na kejeli sio mtaji
.
 
Misijawahi mnene vyangu vimodel tu. Wembamba wako poa sana kwenye bed yan u ukakabeba beba kila style unayotaka kwa urahisi
 
Back
Top Bottom