Mwanamke Mnyenyekevu Vs Mwanamke Mtumwa

Mwanaume ata siku mmoja anyenyekewi bali una mpa heshima kama anakuheshimu
 
Kuna namna mwandishi kawasilisha ujumbe wake. Na naamin kwamba alikua na good intentions alivyokua anaandika hii mada. Lakin sasa katika kila jambo liandikwalo na wapendwa humu naona tujifunze kuwa na chujio. Si kila neno liandikwalo humu ni la kubeba kama lilivyo.

Yes the message is good but kuna points ambazo zimeandikwa hapa sio za kuzibeba kimihemko. Anashauri hapa ni mwanaume ambae yeye hana stress. Mwanamke ukiwa unabeba mambo kama yalivyo utakwama very early. So if I were to advise, chukua yale unayoona yatakusaidia afu ambatanisha neno la Mungu kwa wingi. Ama kwa maana ingine ruhusu Vitabu vya Imani viwe chief judge wa kila commentary, advise, thread, meme, post unazokutana nazo kwenye social medias.

Kuna namna adui anaweza kujigeuza malaika wa Nuru hvyo akaleta jambo kama kweli vile, kama inakuja vile lakin kumbe kuna mbegu mbaya iko nyuma ya hio post ama meme uliyosoma afu ikakutengenezea msimamo fulani akilini. Be keen..our adveserer is like a roaring lion, going around seeking someone (maybe you,maybe me) to devour. Pasaka njema.
 
Kibri, jeuri na dharau ni hatari sana

Baraka kujua MTU akidai Haki, upendo na Akili neio tafsiri ya kiburi, Jeuri na dharau?

Mfano Mkeo anakuambia hawezi kuvumilia tabia yako ya kuchelewa kurudi nyumbani ukiwa umelewa, hicho kitahesabika kama kiburi, Jeuri au dharau kwako?
 
Conclusions

1 Mwanamke asipotendewa haki na mumewe basi asimtii

2 Mwanaume asipotendewa haki na mkewe basi asimpende

3 Hakuna majadiliano ya kuleta amani na Upendo baada ya kutotendewa haki Kwa upande Moja wapo

4 Ukimpa mwanamke uhuru wa kutokutii mumewe basi inaweza ikawa ndyo hali ya Milele

5 Ndoa nyingi zitavunjika Kwa hali hii.
 
haahhahahah huu uzi baba wanaume watakufukuza kweny uanachama, maana nguvu yao na uanaume wao unatokana na kuwanyanyasa wanawake.... Kwa upande wa mwanamke utaitwa mwanaharakati,feminist, single nmother, kiburi, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…