Mwanamke mrembo aliyepo Dar

Mwanamke mrembo aliyepo Dar

Huna mwamvuli my [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi wacha niwashe mshumaa nione mwanga nifungue dirisha
Unatafuta sbb ya kutofungua dirisha.

Right ungejua ninayopitia, ungefungua mlango kabisa nije unisikilize.
 
Hamna my kweli kuna giza sioni nilipoweka mshumaa na simu ina 1 percentage haiwezi kuwasha torch. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We vumilia my [emoji7]
Dah huu mtihani.

Siwezi kurudi nilikotoka, nimekuja safari yote kwako.

Nitakaa hapa mpaka ufungue, iwe mvua iwe mbu.

Moja ninalotka, nifikishe ujumbe kwko.
 
Back
Top Bottom