GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Haya bahna.Good 9t my [emoji8][emoji182]
Haya poa.Good 9t my [emoji8][emoji182]
Dirisha limegoma kufunguka, kesho nitamuita fundi [emoji1787]
Yupo hapa anaipepea, alishapata vinne ππUongoo [emoji1787][emoji1787]
We lamomy si ulisema una mtu?Niko hapa ila me sina mtoto π
Duh kumbe ndio hvyoKila la kheri jiandae wale ke favourite wa humu watakujia na multiple ID zao [emoji102] jiandae kuogelea penye neema
Utambe ππYupo hapa anaipepea, alishapata vinne ππ
Sawa endelea kusubiri π€£Haya poa.
Nia yangu ilikuwa kufikisha ujumbe.
Nitautunza mpka unifungulie.
π€£π€£π€£ no commentWe lamomy si ulisema una mtu?
Kesho atakupa mrejeshoUtambe ππ
Nipo naye hapa tunakucheka πππKesho atakupa mrejesho
Huyo atakuwa ni mdoli; Yupo hapa kwangu anajibinua binua tu πNipo naye hapa tunakucheka πππ
Duh kaka na wewe umo....Hana taco
Duh kaka na wewe umo....
Am good watunane....Namdiscourage jamaa asiendelee kutujazia server na vitu vya kawaida...
By the way waendeleaje wewe, ni muda sana hatujachekiana...