Mwanamke mrembo lakini ngozi yake ngumu

Mwanamke mrembo lakini ngozi yake ngumu

Mkuu unless hukua na nia njema nae...ila kama ulitaka kujenga nae maisha mtafutie vilainishi vya ngozi atumie...huwez kupata a perfect match labda umuumbe mwenyewe!
 
huyo ndio og ujue, amekosa tu vilainishi, waonaje ukimpatia vilainishi itakuwa poa zaidi
 
Aiseeeee

Nilimsotea sana huyu mrembo nikampania sana maana kimuonekano ni anavutia haswa
Basi nikaenda nae hadi akawa sawa

Ajabu na kitu iliyonikata stim ni huyu demu kuwa na kingozi ligumu mwili mzima!
Si mikono wala kalio lake kubwa, kote ni ngumu kama gamba la samaki ful mikwaruzo, kiukweli hafanani na jinsi alivyo hakika hakuna kizuri bila kasoro

Inakuaje mrembo wa kimuonekana unakua na ngozi ngumu?

Kwakweli hapa atanisamehe, hataniona tena
Na papuchi ulikuta ngozi ngumu
 
Me nahisi wewe ndio unangozi nyororo so ukicompare na ya huyo bibie kidogo anaonekana ngumu, dah wanaume wa Dar Vipodozi vya Dada zenu haviwaachi salama
 
Aiseeeee

Nilimsotea sana huyu mrembo nikampania sana maana kimuonekano ni anavutia haswa
Basi nikaenda nae hadi akawa sawa

Ajabu na kitu iliyonikata stim ni huyu demu kuwa na kingozi ligumu mwili mzima!
Si mikono wala kalio lake kubwa, kote ni ngumu kama gamba la samaki ful mikwaruzo, kiukweli hafanani na jinsi alivyo hakika hakuna kizuri bila kasoro

Inakuaje mrembo wa kimuonekana unakua na ngozi ngumu?

Kwakweli hapa atanisamehe, hataniona tena
weka picha
 
Back
Top Bottom