precision wapo wawili rubani sijui unataka cv kwa ajili gani. siku moja walishaongoza ndege from dar to shinyanga ilikuwa ni siku ya wanawake duniani kuanzia rubani mkuu na msaidizi na wafanyakazi wengine wote walikuwa wanawake abiria walikuwa hawalijui hilo walipokaribia kutua ndio wakapewa suprise hiyo abiria eti wakashtuka wengine waliwapongeza ila wengine walisema wangelijua hilo mapewa wasingepanda ina maana walikuwa hawa waamini ila ukweli ninawapongeza sana maana wanafanya vizuri tu na ni bado wasichana hawajawa wamama ila maumbo yao ni noma.