Mwanamke mtanzania kuwa rubani

Mwanamke mtanzania kuwa rubani

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Wana jf nahitaji kumfahamu mwanamke mtz kuwa rubani wa ndege na cv yake kwa ujumla!
 
Unamtaka yule anaendesha ndege za Precision au yule anaendesha jet fighter zetu kule kizuka? Fafanua
 
precision wapo wawili rubani sijui unataka cv kwa ajili gani. siku moja walishaongoza ndege from dar to shinyanga ilikuwa ni siku ya wanawake duniani kuanzia rubani mkuu na msaidizi na wafanyakazi wengine wote walikuwa wanawake abiria walikuwa hawalijui hilo walipokaribia kutua ndio wakapewa suprise hiyo abiria eti wakashtuka wengine waliwapongeza ila wengine walisema wangelijua hilo mapewa wasingepanda ina maana walikuwa hawa waamini ila ukweli ninawapongeza sana maana wanafanya vizuri tu na ni bado wasichana hawajawa wamama ila maumbo yao ni noma.
 
Mkuu hujaeleweka, rudi tena soma post yako vizuri then rekebisha ili ueleweke!! Ni vigumu kukuelewa kama hujafikiria mtu mwingine asiyekuwepo wakati unaandika.
 
Back
Top Bottom