Mwanamke mtu mzima anahitajika

Mwanamke mtu mzima anahitajika

Mwaka Wa Saba

Member
Joined
May 27, 2020
Posts
29
Reaction score
38
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33' kutokana na changamoto za mahusiano na mabinti below 30 kuwa kubwa nimeona sasa ni wakati wa kutafuta same age or above mwenye mapenzi ya dhati.

Mabinti wengi waliongozwa na tamaa ya pesa na kujionyesha zaidi kuliko kufikiri maendeleo, hivyo hata ukikutana naye hamu yote iyakuisha mbona utaletewa lundo la mahitaji kuliko uhalisia.

Kuhusu mimi;

*Mrefu na mwili wa wastani.
*Rangi maji ya kunde.
*Elimu degree.
*Nimeishi nje kidogo kama nchi 3.
*Kazi yangu ni mkulima na mjasiriamali wa kawaida tu.

Anayehitajika;
*Awe na uwezo wake binafsi.
*Mnene kidogo au zaidi.
*Rangi yoyote.
*Akiwa na exposure ya kuishi nje kidogo itapendeza.
*Awe na akili timamu/ degree sio lazima.
*Awe na mawazo ya maendeleo zaidi.

Ukiwa serious njoo PM.
 
Enzi hzo wana tunakaa baki benja tunachokoza vibinti tunashikwa na vibondi shule we huko mbele unapambana kusoma hutaki kuskia masuala ya mademu unatuita wahuni

Haya ona sasa umefika miaka 34 huwezi tongoza uraiani umekuwa domo zege


















Hapo juu ilikuwa masihara tu mkuu mapenzi ni popote utapata tu cha msingi uwe makini tuuh
 
Kuna squad ipo humu


**nachelea hapo kwenye utimamu wa akili tu baaaasi🤷🏼‍♀️
 
Back
Top Bottom