Mwanamke Mume mmoja,Mwanaume Wake wengi!

Mwanamke Mume mmoja,Mwanaume Wake wengi!

Kati ya 100 pengine wa 5 ndo wanaoweza hizo mbio za marathon. Nilishakutanaga naye enzi za usichana mmoja kati ya karibu 30 na ushee hivi.

Umenichanganya.
Naona uliokutana nao walikuwa wachovu njoo uone jaribu na zamani hata kujiexpress ilikuwa marufuku.
 
Kuoa wake wengi kulikuwa nafaida zake na ingekuwa ngumu mwanamke kuolewana zaidi ya mume mmoja kwa sababu zilezile zilizofanya mwanaume awe na wake wengi.
1. mwanaume aliweza kukidhi haja zake muda wote pale mke mmojawapo alipokuwa mjamzito au ananyonyesha.Kwa kuwazungukia wote iliwawezesha wake kutimiza majuku ya kibaiolojia na kifamilia bila tatizo.
2. Miaka hii ni vigumu wanaume kuwa na wake wengi - sababu za kiuchumi na ki imani kwa wengine zinafanya hili lisiwezekane.Wanawake nao hawazai watoto wengi kama miaka ya zamani.Anazaa watoto wawili au watatu na muda wake wa kuweza kuzaa bado upo miaka ya menopause haifiki hadi akiwa kwenye 52-55.Hapohapo mumewe hana uwezo wala muda kumhudumia mahitaji yake na matokeo ni baadhi ya wanawake nao kuwa na wapenzi wa nje! HUU NI UKWELI.
USHAURI WA BURE: EWE MWANAUME MWENYE MKE MMOJA KAZA BUTI VINGINEVYO UTASAIDIWA.WAKATI UKIMALIZIA NGUVU NYUMBA NDOGO UJUE HOME KUNAWAKA MOYO.

Mahusiano ya sasa huwezi kulinganisha na miaka iliyopita kama ulivyosema.Maisha ya zamani yalizungukia kuzaa na kulea watoto kipindi chote cha maisha ya mwanamke.Miaka hii mwanamke hazai sana kama zamani na kwa msingi huu mahitaji yake ya kimapenzi ni makubwa kama yalivyo ya mwanaume.Naunga mkono hoja yako kuwa mwanaume asiyemtosheleza mkewe kwenye hili ana mashaka ya kumpoteza huyo mwenzi wake.
 
Naomba nielimishwe?...

...Kama mwanaume anaruhusiwa kuoa Wake wengi kwanini Mwanamke asiwe na Waume wengi?Je kuna usawa hapo?

...jibu lake unalipata hapa;

Aina zote za ndoa(Kikristo,Kiislamu,kijadi na kiserikali)zinaruhusu ndoa kwa Mwanaume Mke mmoja au wengi na Mwanamke Mume mmoja.

...kila dini, mila, desturi, tamaduni na serikali za mahala fulani zina kanuni zake kuhusu hilo. Ukitaka usawa, hata vidole havifanani urefu mkuu...
 
Back
Top Bottom