Kuoa wake wengi kulikuwa nafaida zake na ingekuwa ngumu mwanamke kuolewana zaidi ya mume mmoja kwa sababu zilezile zilizofanya mwanaume awe na wake wengi.
1. mwanaume aliweza kukidhi haja zake muda wote pale mke mmojawapo alipokuwa mjamzito au ananyonyesha.Kwa kuwazungukia wote iliwawezesha wake kutimiza majuku ya kibaiolojia na kifamilia bila tatizo.
2. Miaka hii ni vigumu wanaume kuwa na wake wengi - sababu za kiuchumi na ki imani kwa wengine zinafanya hili lisiwezekane.Wanawake nao hawazai watoto wengi kama miaka ya zamani.Anazaa watoto wawili au watatu na muda wake wa kuweza kuzaa bado upo miaka ya menopause haifiki hadi akiwa kwenye 52-55.Hapohapo mumewe hana uwezo wala muda kumhudumia mahitaji yake na matokeo ni baadhi ya wanawake nao kuwa na wapenzi wa nje! HUU NI UKWELI.
USHAURI WA BURE: EWE MWANAUME MWENYE MKE MMOJA KAZA BUTI VINGINEVYO UTASAIDIWA.WAKATI UKIMALIZIA NGUVU NYUMBA NDOGO UJUE HOME KUNAWAKA MOYO.