Mwanamke: Mwanaume anapokuangalia anakuona mpaka ndani, viashiria hivi zingatia

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Kama ningeuliza wanaume kadhaa randomly … kuwa unafikiria nini kila bada ya dk 20 au kila unapomwona mwanamke? Sijui jibu ambalo ningepewa lakini wataalamu wanasema wanaume wanafikiria sex kila baada ya sekunde 7. Hii inamanisha kuwa zaidi ya mara 500 kila baada ya saa moja na zaidi ya mara 8000 ndani ya masaa 16 akiwa hajalala….(ha ha ha akilala anaota pia jambo hilo “wet dreams” ingawa haujafanyika utafiti haswa haswa kuhusiana na hilo lakini kuna mtafiti mmoja bwana Kinsey alifanya utafiti kujua kwa wanaume na wanawake mara ngapi wanafikiria kuhusu sex 54% ya wanaume walisema mara nying sana kwa siku. 4% mara chache sana kwa mwezi.

Wakati wanawake wao 19% wanasema wanawazia sex kila siku au mara nying kwa siku.. 64% walisema mara chache kwa wiki na au kwa mwezi na 14% walisema ni mara moja kwa mwezi.. hii inaleta picha kuwa kwa kiasi kikubwa wanaume hufikiria sex zaidi kuliko wanawake. Wakati huo wanawake wakifikiria urembo,mapambo,starehe,vitu vya thamani,vito vya thamani,anasa n.k mwanaume fikra yake kubwa ipo kwenye SEX. Akimtizama mwanamke anawaza SEX tu…. Na hivi ni viashiria kadhaa kuwa mwanaume anawaza sex zaidi kuliko chochote anapomwona mwanamke.

WANAWAKE TAHADHARI. UKIONA MWANAUME -

1. anakuchekea chekea – anataka sex
2.
Anakutoa out kila wakati – anataka sex
3.
Anakusalimia kila wakati – anataka sex
4. Anajidai ni mwema sana kwako – anataka sex
5. Anaonesha kukujali sana– anataka sex
6. Zawadi kila mara ujue hana lolote huyo – anataka sex
7. Anakusifia sifia kila mara. Umependeza/we mzuri – anataka sex
8. Ana like kila picha yako – anataka sex
9.
Kila comment yako ,thread/post ana like – anataka sex
10. Anakusikiliza sana ukiwa unaongea huku anakutizama usoni- anataka sex
11. Popote unapotaka kwenda yupo tayari kukusindikiza – anataka sex
12. Anakubebea mizigo/pochi n.k – anataka sex
13. Kila jambo yeye anakutetea – anataka sex
14. Anakutaja taja kila wakati- anataka sex
15. Anakuonea aibu wakati mwingine kwa uoga – anataka sex
16. Mmekaa wote kwenye siti anajisemesha semesha - anataka sex
17. Anajionesha onesha au kujionesha ana pesa kwako - anataka sex
18. Kila wakati kukutakia siku,usiku mwema,kukujulia hali - anataka sex
19. Anakufata fata kila uendapo anataka muwe wote - anataka sex
20. Anajifanya ana kulinda na pia kukuonea wivu - anataka sex

kwa kiasi kikubwa wanaume asilimia 80 wataenda motoni kwa dhambi ya uzinzi kwa sababu kumbuka ni mara ngapi umemvua dada wa watu au mke wa mtu nguo akiwa anatembea?yaani mawazo yako yakaelekea kwenye sex baada ya kumwona? ni mara ngapi umewaza "nikimpata yule" kwa mdada ambaye si mkeo?
 
Hata wewe ulieleta huu uzi unataka sex
 
Nimekubali andiko lako lakini mwisho ndo umeharibu kabisa,yaani asilimia 80 waende motoni? kwani wewe ni mtoto wa mungu useme amekumegea siri? hapo umeniudhi kwelikweli
 
uzuri yeye nimuwindaye kikaka-dada sio mtu wa kuingia JF
 
Mkuu ambacho nmesema dhambi kubwa ya kiwapeleka huko inaweza kuwa hii. But sija conclude kuwa ndo ilivyo au nina uhakika huo. Ila nachosema sabab kubwa yaweza kuwa hiyo

Nimekubali andiko lako lakini mwisho ndo umeharibu kabisa,yaani asilimia 80 waende motoni? kwani wewe ni mtoto wa mungu useme amekumegea siri? hapo umeniudhi kwelikweli
 
kawaida tu mkuu hakunA jipyA hapo ndo udhaifu ambao tumeumbwA nao sisi wanaume kama ww haupo hvyo basi hongera zako
 
Kosa letu liko wapi sasa hapo mpaka twende motoni wakati utafiti wako umeishasema tuwaza hayo mambo mara 8,000 kwa kutwa moja.

Kabla hamjatupeleka huko motoni...hebu na nyie kaeni chini mtafakari ni kipi hasa kinatufanya tuwe tunafikiri hivyo?

Kamwe huwezi kushindana na asili ndio maana hata jasiri nae pia aachi lazima achemke tu na kurudi kule kule Maweee....!!
 
Back
Top Bottom