Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa ila kusema mwanaume kila baada ya sekunde 7 anafikilia sex hapa si kweli rafiki.mimi pamoja na wanaume wengine kwa % kubwa tunafikilia pesa...basiKama ningeuliza wanaume kadhaa randomly … kuwa unafikiria nini kila bada ya dk 20 au kila unapomwona mwanamke? Sijui jibu ambalo ningepewa lakini wataalamu wanasema wanaume wanafikiria sex kila baada ya sekunde 7. Hii inamanisha kuwa zaidi ya mara 500 kila baada ya saa moja na zaidi ya mara 8000 ndani ya masaa 16 akiwa hajalala….(ha ha ha akilala anaota pia jambo hilo “wet dreams” ingawa haujafanyika utafiti haswa haswa kuhusiana na hilo lakini kuna mtafiti mmoja bwana Kinsey alifanya utafiti kujua kwa wanaume na wanawake mara ngapi wanafikiria kuhusu sex 54% ya wanaume walisema mara nying sana kwa siku. 4% mara chache sana kwa mwezi.
Wakati wanawake wao 19% wanasema wanawazia sex kila siku au mara nying kwa siku.. 64% walisema mara chache kwa wiki na au kwa mwezi na 14% walisema ni mara moja kwa mwezi.. hii inaleta picha kuwa kwa kiasi kikubwa wanaume hufikiria sex zaidi kuliko wanawake. Wakati huo wanawake wakifikiria urembo,mapambo,starehe,vitu vya thamani,vito vya thamani,anasa n.k mwanaume fikra yake kubwa ipo kwenye SEX. Akimtizama mwanamke anawaza SEX tu…. Na hivi ni viashiria kadhaa kuwa mwanaume anawaza sex zaidi kuliko chochote anapomwona mwanamke.
WANAWAKE TAHADHARI. UKIONA MWANAUME -
1. anakuchekea chekea – anataka sex
2. Anakutoa out kila wakati – anataka sex
3. Anakusalimia kila wakati – anataka sex
4. Anajidai ni mwema sana kwako – anataka sex
5. Anaonesha kukujali sana– anataka sex
6. Zawadi kila mara ujue hana lolote huyo – anataka sex
7. Anakusifia sifia kila mara. Umependeza/we mzuri – anataka sex
8. Ana like kila picha yako – anataka sex
9. Kila comment yako ,thread/post ana like – anataka sex
10. Anakusikiliza sana ukiwa unaongea huku anakutizama usoni- anataka sex
11. Popote unapotaka kwenda yupo tayari kukusindikiza – anataka sex
12. Anakubebea mizigo/pochi n.k – anataka sex
13. Kila jambo yeye anakutetea – anataka sex
14. Anakutaja taja kila wakati- anataka sex
15. Anakuonea aibu wakati mwingine kwa uoga – anataka sex
16. Mmekaa wote kwenye siti anajisemesha semesha - anataka sex
17. Anajionesha onesha au kujionesha ana pesa kwako - anataka sex
18. Kila wakati kukutakia siku,usiku mwema,kukujulia hali - anataka sex
19. Anakufata fata kila uendapo anataka muwe wote - anataka sex
20. Anajifanya ana kulinda na pia kukuonea wivu - anataka sex
kwa kiasi kikubwa wanaume asilimia 80 wataenda motoni kwa dhambi ya uzinzi kwa sababu kumbuka ni mara ngapi umemvua dada wa watu au mke wa mtu nguo akiwa anatembea?yaani mawazo yako yakaelekea kwenye sex baada ya kumwona? ni mara ngapi umewaza "nikimpata yule" kwa mdada ambaye si mkeo?
Kama ningeuliza wanaume kadhaa randomly … kuwa unafikiria nini kila bada ya dk 20 au kila unapomwona mwanamke? Sijui jibu ambalo ningepewa lakini wataalamu wanasema wanaume wanafikiria sex kila baada ya sekunde 7. Hii inamanisha kuwa zaidi ya mara 500 kila baada ya saa moja na zaidi ya mara 8000 ndani ya masaa 16 akiwa hajalala….(ha ha ha akilala anaota pia jambo hilo “wet dreams” ingawa haujafanyika utafiti haswa haswa kuhusiana na hilo lakini kuna mtafiti mmoja bwana Kinsey alifanya utafiti kujua kwa wanaume na wanawake mara ngapi wanafikiria kuhusu sex 54% ya wanaume walisema mara nying sana kwa siku. 4% mara chache sana kwa mwezi.
Wakati wanawake wao 19% wanasema wanawazia sex kila siku au mara nying kwa siku.. 64% walisema mara chache kwa wiki na au kwa mwezi na 14% walisema ni mara moja kwa mwezi.. hii inaleta picha kuwa kwa kiasi kikubwa wanaume hufikiria sex zaidi kuliko wanawake. Wakati huo wanawake wakifikiria urembo,mapambo,starehe,vitu vya thamani,vito vya thamani,anasa n.k mwanaume fikra yake kubwa ipo kwenye SEX. Akimtizama mwanamke anawaza SEX tu…. Na hivi ni viashiria kadhaa kuwa mwanaume anawaza sex zaidi kuliko chochote anapomwona mwanamke.
WANAWAKE TAHADHARI. UKIONA MWANAUME -
1. anakuchekea chekea – anataka sex
2. Anakutoa out kila wakati – anataka sex
3. Anakusalimia kila wakati – anataka sex
4. Anajidai ni mwema sana kwako – anataka sex
5. Anaonesha kukujali sana– anataka sex
6. Zawadi kila mara ujue hana lolote huyo – anataka sex
7. Anakusifia sifia kila mara. Umependeza/we mzuri – anataka sex
8. Ana like kila picha yako – anataka sex
9. Kila comment yako ,thread/post ana like – anataka sex
10. Anakusikiliza sana ukiwa unaongea huku anakutizama usoni- anataka sex
11. Popote unapotaka kwenda yupo tayari kukusindikiza – anataka sex
12. Anakubebea mizigo/pochi n.k – anataka sex
13. Kila jambo yeye anakutetea – anataka sex
14. Anakutaja taja kila wakati- anataka sex
15. Anakuonea aibu wakati mwingine kwa uoga – anataka sex
16. Mmekaa wote kwenye siti anajisemesha semesha - anataka sex
17. Anajionesha onesha au kujionesha ana pesa kwako - anataka sex
18. Kila wakati kukutakia siku,usiku mwema,kukujulia hali - anataka sex
19. Anakufata fata kila uendapo anataka muwe wote - anataka sex
20. Anajifanya ana kulinda na pia kukuonea wivu - anataka sex
kwa kiasi kikubwa wanaume asilimia 80 wataenda motoni kwa dhambi ya uzinzi kwa sababu kumbuka ni mara ngapi umemvua dada wa watu au mke wa mtu nguo akiwa anatembea?yaani mawazo yako yakaelekea kwenye sex baada ya kumwona? ni mara ngapi umewaza "nikimpata yule" kwa mdada ambaye si mkeo?
Yaa,ndio zetu wanaume.its nature,na Mungu alituumba na tamaa hiyo kwa makusudi.Kumvua mwanamke skert huku ana tembea duuh
Sisi tukiwaangalia tunataka pesa tu.Vip kuhusu wanawake
Inategemea na Wakati/Hadhi/Kujitambua kwa Mwanaume.Kama ningeuliza wanaume kadhaa randomly … kuwa unafikiria nini kila bada ya dk 20 au kila unapomwona mwanamke? Sijui jibu ambalo ningepewa lakini wataalamu wanasema wanaume wanafikiria sex kila baada ya sekunde 7. Hii inamanisha kuwa zaidi ya mara 500 kila baada ya saa moja na zaidi ya mara 8000 ndani ya masaa 16 akiwa hajalala….(ha ha ha akilala anaota pia jambo hilo “wet dreams” ingawa haujafanyika utafiti haswa haswa kuhusiana na hilo lakini kuna mtafiti mmoja bwana Kinsey alifanya utafiti kujua kwa wanaume na wanawake mara ngapi wanafikiria kuhusu sex 54% ya wanaume walisema mara nying sana kwa siku. 4% mara chache sana kwa mwezi.