Mwanamke/mwanaume gani hautamsahau katika maisha yako?

Mwanamke/mwanaume gani hautamsahau katika maisha yako?

NUNEZ DIAZ

Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
85
Reaction score
115
Habari wana Jf,

Hivi ni msichana yupi au mwanaume yupi hutakuja kumsahau katika kipindi chote.
 
So tunataja majina tu halafu basi?
mfano niseme Hidaya sitamsahau...end of story?
 
Mm yule anaeishi tanga yaan mwafulani siwez msahau katu hata nikiolewa
 
Mkuu wa Kaya sitaweza msahau. 🙄 🙄
 
Back
Top Bottom