Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
hehehe na wewe unataka ufanye practical hapa hapa mayowe siku zote ni wizi mtupu anakuibia tu....
mi nilichukua kitu kilikuwa ( . ) mi naelea tu alafu kinapiga mayowe nikamwambia acha kuniibia bana.
Masanilo, Ya kweli hayo???? Hiyo harusi itafanyikia nchi gani??????
This is for real, tumedate muda mrefu nadhani ni wakati kufunga pingu! Maana hii cohabitation imekuwa na muda sasa! Harusi itafanyika huku tulipo ughaibuni...Belinda cant wait kuwa kwenye mavazi meupe...na lile tabasamu lake mhhhhh!
Sawa kaka nimekupata, Muda ukifika mta tu-update ili tuhudhurie kwenye hilo bonge la harusi.
Usikonde nadhani wanaJF wengi watakuja.....nawasiliana na invisible awe MC ! Tutaweka thread tarehe zikikaribia....
Kwani anapopiga mayowe huwa anaumia sana au huwa anafurahi sana?????
Hahah Balantanda tangu amehook up na Penny naona amepotea amekuwa sio regular tena...
...mi naelea tu alafu kinapiga mayowe nikamwambia acha kuniibia bana.
Mayowe wizi mtupu! ...
Unajua tuache masihara watoto wa kule bwana wacha waongoze kwa ukimwi dahh yaani wametimia jamani...nyie bezeni suala la Ukelele ila najua wapo wataofanya experiment hao ndo watatoa majibu. Afu ukitaka kuenjoy sio ufanyiwe kwenye zetu hizi za mbavu za mbwa. Hii kitu inapendeza kwenye ultimate private sio wapiga chabo kibao ndo ujitie mbwembwe shosti utauza magazeti kesho yake.
mmmhhhh uwwiiiiiiiii yalaaaaahh....afu ana-fade out kimtindo. Mi nakwambia hapo lazima ushikwe na kifafa cha ghalfa. Take this from horse's mouth.😉
mmmhhhh uwwiiiiiiiii yalaaaaahh....afu ana-fade out kimtindo. Mi nakwambia hapo lazima ushikwe na kifafa cha ghalfa. Take this from horse's mouth.😉
Mkuu mi niweke kabisaaaaaa kwenye kamati ya vinywaji.....usinisahau.
This is for real, tumedate muda mrefu nadhani ni wakati kufunga pingu! Maana hii cohabitation imekuwa na muda sasa! Harusi itafanyika huku tulipo ughaibuni...Belinda cant wait kuwa kwenye mavazi meupe...na lile tabasamu lake mhhhhh!
Avatar yako inanichanganya??????heh! Mayowe ya kishindo au? Maana usikute hayo mayowe ni ya kuzulu zaidi ndo maana wanazijulia wenyewe na wanaume wao wamezoea.Yaani ni kati ya kichocheo kwenye mapenzi yao.
Watu hawakuwasikia nje kwa hayo mayowe?
Kwangu mimi kama hamalizi haraka,tunaahirisha. Masaa 2 hajaitika kweli ni shughuli ila mwisho wa siku kila mtu na taste zake mkuu. Wengine wanapenda masaa mengi.
🙂......Yule mtoto bwana alikuwa akijua tu amechoka basi anapiga YOWE moja matata kama vile ameng'atwa na kitu........
...ndivyo ilivyo!
'Gari bovu' siku zote ndilo lisilokwisha kelele,...! kelele miiiingi ukimpa kisogo anakung'ong'a!
'Gari' kama hiyo ikianza kelele tu, ...unazima,...unashuka, huyooo unaishia!