Hivi nyie niwaulize kitu kimoja, kama mtu anakudanganya ili usikie raha shida iko wapi? Mi naona ni poa tu as long as am getting what I want or pay for. Nimewaambia Yowe limenifikisha kunakohusika sasa vijembe vya nini. Kama wewe unanjia nyingine unayoitumia basi tuambiane maana hapa tunashare experience wazee.
Watoto wa Bongo tatizo lao hawatoi ushirikiano wakutosha...unaweza kujikuta mechi nzima unacheza wewe tu, labda baadhi ya maeneo kama Tanga na watoto wa kizaramo, hao wengine hovyo tu, mi nshawala wengi najua ninachozungumzia, HUTAKI NENDA KAANZISHE THREAD YAKO. 🙂