Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Inawezekana mtoa mada anataka kufanya majaribio kama ni yeye tu hafiki au kunawengine pa hawafiki. Toa ufafanuzi upate unachotaka
 
umefanya research ya namna gani mpka ukagundua..??

Nimegundua wanawake wengi huwa wanafanywa mapenz tu ila hao huwa awarizik.

Weng hufanya kuwa furahisha wapenzi wao tu lakin huwa hawafkishw kileleni na wanaume zao.

Vip wewe?
 
Wewe ulijuaje kuwa hawafiki? Umeshatembea na wangapi hadi ukapata justification kuwa hawafiki kileleni? Km umeshatembea na wengi, na umeprove hivyo, sasa je, unawasaidiaje?
 
Kwa walilako mkuu usitegemee kupata jibu kutoka kwa madada zetu. Kingine ni kwamba ungejaribu kuelezea halafu ungeacha kama mjadala fulani wa kuchangia ambapo watu wangekuwa na wide range kuchangia.
Mimi nafahamu kuwa wadada wengi hawafiki kileleni kutokana na sababu tofauti tofauti na ubaya wao wengi hawapo open katika suala hilo matokeo yake baadhi huamua hata kutafuta wanaume wengine.

Ushauri wangu ni kwamba, kwa wale wasiofika wajaribu kujadiliana na wenza wao ili kujua tatizo ni nini na wapate ufumbuzi il wafaidi starehe hii adimu ambayo Mungu katupa viumbe wake ambayo husaidia kupunguza stress sometyms
 
Wana JF naombeni msaaada webu nataka kujua kama mwanamke karidhika kitandani utamjuaje?



Msaada please
 
Back
Top Bottom