ni-PM nikupe private proven techniques!wadau, style gani inaweza kumsaidia mwanaume asifike kileleni haraka?
uko sawa kabisa, yani mfano fikiria kama unakimbizwa na simba, au unangoja zamu yako kuchoma sindano!!, utajikuta unatwanga tu!.Wakati wa kuperform wewe peleka mawazo yako mbaaaaaaaaaaaaaaaaali, usiwaze kabisa hicho kitendo, ni training lakini
weka super glue
Ukifikiria UKIMWI linatokea jambo jingine tofauti na kuchelewa kufika kileleniWakati wa kumega wewe fikiria UKIMWI tu.
Nasikiaaga kuna shangazi wa kike na wa kiume, basi huyu commentor atakuwa shangazi wa kiume, au la atakuwa hajui matumizi ya superglueweka super glue
Ukifikiria UKIMWI linatokea jambo jingine tofauti na kuchelewa kufika kileleni
ndiyo maana yake mkuuHehehe kitu kitanywea sio?
wadau, style gani inaweza kumsaidia mwanaume asifike kileleni haraka?
Nasikiaaga kuna shangazi wa kike na wa kiume, basi huyu commentor atakuwa shangazi wa kiume, au la atakuwa hajui matumizi ya superglue
Kajaribu na hii hapa :- tumia kinywaji aina ya wine au konyagi basi hiyo ndio dawa ya tatizo lako ila uangalie mwenzako asije akatoa machozi kwani waweza endelea kutaka huku mwenzako akiwa yuko hoi bin taaban
ni-PM nikupe private proven techniques!
uko sawa kabisa, yani mfano fikiria kama unakimbizwa na simba, au unangoja zamu yako kuchoma sindano!!, utajikuta unatwanga tu!.