Mwanamke mwenye hofu ya Mungu kwa ajili ya ndoa

egari

Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
40
Reaction score
37
Habari zenu wana janvi.., katika dunia hii hakuna palipoandikwa ni sehem gani unaweza kupata mke au mme., bali ni sehem yeyote unaweza kupata mwenza wa maisha yako ya hapa dunian.Kuna watu walikutana kwenye daladala,kanisani, mkutanoni., nk. Mim nimeona nije huku kutafuta mwenza maana umri sas unaruhusu. Nahitaji bint mwenye umri kuanzia 20 mpaka 27 na awe serious na maisha na elimu aanzie form six. Umri wangu ni miaka 35 elim degree na kazi yangu ni mfanyabiashara..., dini awe mkiristu mwenye hofu ya Mungu na awe anatokea kanda ya ziwa.
 
wewe una hofu ya mungu?
 
Kama hata huko kwenye biashara zako umeshindwa kupata wife materials basi wewe utakuwa domo zege na una mkono wa birika!
[HASHTAG]#Nakushauri[/HASHTAG] pigs nyeto tu yatosha,ili msingi wako wa biashara usishuke!
 
Basi Kama umtakaye niwa kanda ya ziwa, kwann uisumbue jf ya dunia nzima? Andika barua kanda ya ziwa
 
Huyuu mkuu anahofu sana mkuu
FB_IMG_1484592127038.jpg
 
Best wishes on your EXAMS, koz huo ni mtihani mzito sana bora kukosea yote sio kuoa ama kuolewa na mtu asiyejielewa utajutia maamuzi yako.! Ila Kheri iwe nawe upate mke mwema
 
Kanda ya ziwa tena kumbe bado kuna huu ubaguzi
 
Mbona kuna wengine wanasema awe katoka dar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bora na huyu hajabagua kivile
 
Kabagua aisee hao wanaosema wa dar ni wanatafuta ukaribu ili waweze kuonana..sasa huyo ata hajaspecify ni mkoa upi kasema tu kanda ya ziwa means uwe umetokea mwanza musoma kokote ili mrad kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom