Mwanamke mwenye jinsia mbili popote ulipo

Mwanamke mwenye jinsia mbili popote ulipo

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Kichwa cha habari chahusika mimi ni mkazi wa Dar es Salaam pia ni mtetezi wa wanyonge wa kila namna especially wanawake.

Nimeamua kutua mzigo alionao binti mwenye jinsia mbili but inayofanya kazi iwe ya kike tu. Wengi wenu mmekuwa na msongo wa mawazo kwa kuhofia kutengwa ila mimi nimedhamiria kumwoa kabisa kama tutaelewana katika vipengele vyote tutakavyokubaliana ikiwemo kupima afya zetu kuanzia VVU na homa ya ini.

Mengi tutazungumza faragha. Kama upo kwenye hali hiyo na unahisi woga na hofu sasa nicheki PM tuyajenge maisha yetu.
 
Kuna ka binti kangu nikonako hapa hakajaolewa kila mtu hakataki ila kenyewe inafanya kazi zaidi jinsia ya...kiume please kasaidie[emoji18]
 
Nia Yako sio nzuri sana. Unataka kuoa alafu uwe unaolewa na mkeo
 
Back
Top Bottom