swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Na wewe unalo kalandinga?Mwanaume kamili lazima apepese macho. Mimi nachekaga tu
Sina. Flat screen hapaNa wewe unalo kalandinga?
Ndio yeye ila sa hivi kapungua sanaIsije kuwa ndio mwenyewe
[emoji1] [emoji2]Sina. Flat screen hapa
Hapana mie Mungu alinipa nyama akasahau kuzipangilia.Isije kuwa ndio mwenyewe
Huyu ni wewe ???Mie niko nyuma nahesabu midundo View attachment 830958
Hapana mie Mungu alinipa nyama akasahau kuzipangiliaHuyu ni wewe ???
Weka picha basi tuthibitisheHapana mie Mungu alinipa nyama akasahau kuzipangilia
Copy ya huyoWeka picha basi tuthibitishe
Maui tena ???Copy ya huyo View attachment 832251
Hiyo hapo imagine angekuwa ke angekuwaje,Maui tena ???
Wekamo kapicha basi tuthibitishe tu
Kapicha tu mkuuHiyo hapo imagine angekuwa ke angekuwaje,
Mimi nimebobea kwenye mambo ya kupunguza nyama zilizozidi mwilini nataka kukusaidia.Hiyo hapo imagine angekuwa ke angekuwaje,
Nashukuru kwa msaada ila binafsi nimeridhika yaani "am proud of myself "[emoji23] [emoji23]Mimi nimebobea kwenye mambo ya kupunguza nyama zilizozidi mwilini nataka kukusaidia.
Hapana , ukisema hivyo utakuwa unakosea sana.Nashukuru kwa msaada ila binafsi nimeridhika yaani "am proud of myself "[emoji23] [emoji23]
[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unakuwa kama kichwa cha trein na behewa lakeMm akiwa mbele yangu huwa ni STRAIGHT NO OVERTAKE, na safari yangu huwa inabadili uelekeo hadi atakapopanda gari au bajaji au kuingia office private, ila akiingia ya umma na mimi nanyoka nae hivyo hivyo, sijawahi ikosesha nafsi yangu uhuru.
Haaaa haaaaaaiseeh huwa sijivungi nalicheki huku napondea,, "kavaa uchi kweli huyu, wife embu ona nguo ilivomshika! " hapo nakuwa nimeangalia na siulizwi maswali,
Thanks again am happy with the situationHapana , ukisema hivyo utakuwa unakosea sana.
Nyama zikizidi zinasababisha Bladi Presha..
Please let me help you
Haaa haaaa aise[emoji4] [emoji4] [emoji4]Me mwenyewe hua nashangaa kwakweli