Mwanamke mwenye makalio makubwa anapokuwa mbele yako barabarani huwa unafanyaje?

Mwanamke mwenye makalio makubwa anapokuwa mbele yako barabarani huwa unafanyaje?

Mwanaume kamili lazima apepese macho. Mimi nachekaga tu
Haaaa haaa kuna siku nilikaa na mdada ghafula abiria huyo anashuka jamani pingili pingili kwenye mzigo kama nundu za ng'ombe wa kisukuma [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] tuliangaliana na kucheka na jirani yangu
 
Sasa hivi Wanawake ndio hua wanashangaa chura zaidi ya wanaume, wanaume tunashangaa kwa kuibia ila wao wanakodoa bila hofu ya kuonekana
 
Mie naangalia halafu najikuta nacheka hata iwe msibani watu wanao niona sijui huwa wananifikiriaje
 
Najiuliza swali moja tu. Ndani ya hilo furushi, amebeba nini?
 
Back
Top Bottom