Haaa haaa kuna ndugu yangu kaolewa na msafwa umeacha nimecheka balaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakua msafwa au mnyakyusa...maana ndo wenye maumbo kama parachichi
Usiwe mbishi kama Farisayo na Sadukayo waliokataa,Thanks again am happy with the situation
Haaaa haaa kuna siku nilikaa na mdada ghafula abiria huyo anashuka jamani pingili pingili kwenye mzigo kama nundu za ng'ombe wa kisukuma [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] tuliangaliana na kucheka na jirani yanguMwanaume kamili lazima apepese macho. Mimi nachekaga tu
Hahahaaaa, kama mimi mkuuaiseeh huwa sijivungi nalicheki huku napondea,, "kavaa uchi kweli huyu, wife embu ona nguo ilivomshika! " hapo nakuwa nimeangalia na siulizwi maswali,
Hahahaaaa hata sikujua ni kabila gani,Atakua msafwa au mnyakyusa...maana ndo wenye maumbo kama parachichi