Mwanamke mwenye miaka 30-40 anatakiwa

Mwanamke mwenye miaka 30-40 anatakiwa

Thesnooperman

Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
55
Reaction score
3
Mwanamke mwenye miaka kuanzia 30 mpaka 40 anatafutwa,awe mrefu kiasi,mweupe,na awe anafanya kazi..nimechoka maisha ya upweke nahitaji mwenza,naiman ntampata humu jf
 
nina 30 ila sina kazi...nakufaa?
 
Mwanamke mwenye miaka kuanzia 30 mpaka 40 anatafutwa,awe mrefu kiasi,mweupe,na awe anafanya kazi..nimechoka maisha ya upweke nahitaji mwenza,naiman ntampata humu jf
usikute umebakiza miaka 5 ya kustaafu na hukujiaandaa sasa unatafuta wa kukutunza uzeeeni
 
Khaaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwanamke mwenye miaka kuanzia 30 mpaka 40 anatafutwa,awe mrefu kiasi,mweupe,na awe anafanya kazi..nimechoka maisha ya upweke nahitaji mwenza,naiman ntampata humu jf

kama hujapata bado, jieleze basi kabila gani, umri wako na dini na kazi gani unafanya pamoja na elimu yako
 
Mwanamke mwenye miaka kuanzia 30 mpaka 40 anatafutwa,awe mrefu kiasi,mweupe,na awe anafanya kazi..nimechoka maisha ya upweke nahitaji mwenza,naiman ntampata humu jf

Umri unaohitaji ninao na nnafanya kazi, but ni mweusi, kwa hiyo nimekukosa?
 
Clearance certificate ya ANGAZA unayo????usije mponza mwenzio,ohooooooo!!!!
 
Jamani wana jf muwe serious mwenzenu ana tatizo muna mbored kwa kweli eti mm nina 41
 
Weka CV yako includes Bank statement! Mie nina vigezo vyoooote...
 
Back
Top Bottom