Mwanamke Mwenye Mlima Kama Huu Huo Ujasiri Wa Kuchit Atautoa Wapi Kwanza

Upweke
Video na picha za ngono
Punyeto

Huwa zinaharibu sana uwezo wa ubongo kudhibiti baadhi ya mambo yenye kutia aibu yasiwe hadharani.
 
Nigga stop beating around the bush,
Nataka utueleze kuhusu ujinga wetu tunaopenda makalio makubwa.
Kama huwezi kuitetea hoja yako urudi hapa ufute kauli yako na kutuomba radhi.
 
Yes,
inawezekana reception ikawa inaita sana na kwa nje ikawa ni mlima kwelikweli, lakini ndani pakawa ni bonde la ufa kwelikweli gentleman, haivumilikagi michosho miyeyusho kama hiyo town
Nacho KUPENDEA BROTHER wewe upo kwenye mada ZOTEEE.

Gentleman,
😊 haujabaki nyuma
😁nakusalimia gentleman.
 
Nacho KUPENDEA BROTHER wewe upo kwenye mada ZOTEEE.

Gentleman,
😊 haujabaki nyuma
😁nakusalimia gentleman.
nipo salama gentleman,
naona popote tupo pamoja na hujawahi kukosekana pia katika mambo ya kijamii, kisiasa na hata kiuchumi jf,

hata hivyo ndani ya mahusiao na ndoa, watu wanavumilia mabo mengi sana japo kwa nje mwingine anaweza kudhani kuna raha mtu anafaidi kumbe karaha tupu
 
Nikweli gentleman 😊
kikubwa ni uvumilivu na kuvumiliana pia kusahihishana na kurekebishanaa..
Ni muhimu Sanaa kwa maendeleo na mustakabali mkubwa wa kitaifa kua na STRONG πŸ’ͺ FAMILY'S

ILA NI MUHIMU KUTO KUANGALIA MAKALIO AMA SURA AMA RANGI BALI NI KUENDANA NA MAADILI YA KIAFRIKA NA UTANZANIA WETU.
 
aya yako ya mwisho imebeba ujumbe wa maana, mzito na wa muhimu mno wa kuzingatiwa na kufanyiwa kazi na mtu ambae anaelekea safari ya kua na mwenza wa maisha yake, lakini pia hata walio ndani tayari.

Pamoja na hilo,
ustahimilivu, msamaha na subra inabaki kua kanuni muhimu isiyo chuja ndani ya ndoa au mahusiano na kuifanya ndoa idumu zaidi ikiwa na afya, furaha na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…