Mwanamke mwenye sifa hizi Mumeo nakutafuta

Mwanamke mwenye sifa hizi Mumeo nakutafuta

Uwe na umri wa miaka 25-30
Elimu:diploma au degree
Makazi😛opote Tanzania
Kabila:lolote ISIPOKUWA MMACHAME.
Kazi:kama huna ajira hakuna shida
Mzuri na mwenye umbo zuri.

MIMI NILIVYO
Kabila:Msukuma
Mrefu kiasi
Elimu - masters
Mfanyabiashara
Naishi dar es salaam

karibu dm
WASUKUMA.jpg
WASUKUMA.jpg
 
Back
Top Bottom