Mwanamke mwenye sifa zifuatazo karibu uanzishe uhusiano wenye malengo na mafanikio makubwa nami

Maneno mazuri sana

Ila kwa mm siungi kipengele cha Dini
Dini ndio sehemu kuu ya maisha na ubora wake unapatikana mtu akiwa na Dini,na asikubali kuchanganya Dini au Imani tofauti


Ila sifa nyingi zimenyooka
Tatizo
Kumpa mwanamke mwenye sifa zote hizo,ni kazi ya ziada
 
Namimi nataka ta moja ila siyo kwa sifa hizo. Mimi awe mcha Mungu tu
 
Namimi nataka mmoja ila siyo kwa sifa hizo. Mimi awe mcha Mungu tu
 


Aisee...ukimpata huku JF basi!!!
 
Utakesha ukimtafta mwanamke wa aina hiyo tanzania hii
 
Umri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…