Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ila sio mimiUkuu wa mfalme ni wingi wa watu wake hahaaaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila sio mimiUkuu wa mfalme ni wingi wa watu wake hahaaaa....
Hahaaaa....haya bwana all the best rafikiIla sio mimi
Maneno mazuri sanaKama unajijua una hizi sifa kiuhalisia nakukaribisha....
Mcha Mungu sana na unaishi Kimungu na una Hofu naeKipaumbele chako siyo Hela, Mali au Kazi kubwa kwa Mwanaume bali ni Utu, Uaminifu na UpendoHuna Dharau kwa Mwanaume ambaye hana Kipato au unamzisi KipatoMvumilivu mno na uko tayari Kushirikiana nae au Kumpambania katika Maendeleo yenuHuna Unafiki na una Ubinadamu mkubwa ndani ya Roho yako na Moyo wakoUko tayari Kupima VVU/UKIMWI zaidi ya Hospitali tatu tofauti na kila Mtu atachukua majibu ya mwenzakeUnajua Kupika, Msafi sana na humbagui Mtu kwa sababu ya Dini yake au Kabila lakeSiyo Mroho na MchoyoMwenye Huruma hasa pale ukiona kuna Wanadamu wengine wanahitaji msaadaUnaweza Kumbadilisha Mwanaume Kitabia na Kumuongoza vyema kabisaUnaweza Kuishi Maisha yoyote yale yawe ya Shida na Raha kama yakitokea
Kwa aliye tayari namkaribisha kuanza Mawasiliano nami kupitia Email ya muyinzitasumba@gmail.com
Ahsanteni.
Ya sendofu?Nianze maandalizi?,[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama unajijua una hizi sifa kiuhalisia nakukaribisha....

Umri?Maneno mazuri sana
Ila kwa mm siungi kipengele cha Dini
Dini ndio sehemu kuu ya maisha na ubora wake unapatikana mtu akiwa na Dini,na asikubali kuchanganya Dini au Imani tofauti
Ila sifa nyingi zimenyooka
Tatizo
Kumpa mwanamke mwenye sifa zote hizo,ni kazi ya ziada
Kwamba unamaanisha?Aisee...ukimpata huku JF basi!!!
Kwamba unamaanisha?