Mwanamke mwenye tattoo

Malaya na mashoga ndio wanakuwaga na hayo matatuu mtu unayejiheagimu huwezi kujichora mwilini kama moko
 
Tattoo ni mfano wa mihuri waliopigwa mateka wa majeshi ya Roma,,,,

Walikuwa wanapigwa mihuri ya moto kama utambulisho wa mtumwa/mateka.


Tatoo kwa sasa imeboreshwa ,, mtu anawezwa chorwa kienyeji au hata kwa vifaa vya kisasa...

Binafsi naona ni ushamba usio na maana zaidi ya kuharibu uzuri wa ngozi.
 
Kwani ukienda kumtambulisha utamvua nguo hadi waone hiyo tatoo
 
hayo makitu huwa wanachora malaya waliokubuhu mara nyingi sasa angalia usijiingize kwenye moto!!!
 
WACHORA TATTOO NI MALAYA KAMA UNATAKA KUOA MALAYA OA
 
kuchora tatoo ni usela mavi tena ule wakuhalisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…