Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani?
hivi nyie wanawake mna nini?
huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya shetani?
haya sasa nakukosa hivi hivi sababu ya ushenzi wako..
Sikuona misifa niliyomwagiwa hapa!.. π π πHaka katoto kako natural hakana ma tattoo kama. Agata. angekua kuku unaweza kutafna na mifupa na manyoya ni kamalikia ka ki Africa
Mkuu kama tabia yake ni njema oa tena usisikie mineno ya watu.angakua muuza papuchi nisingekushauri wewe mmempendana vuta gomaKuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani?
hivi nyie wanawake mna nini?
huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya shetani?
haya sasa nakukosa hivi hivi sababu ya ushenzi wako..
YesUpo dunia gani mzee tatoo kwani inashida gani?
Sio mke huyo kimbia hapoKuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani?
hivi nyie wanawake mna nini?
huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya shetani?
haya sasa nakukosa hivi hivi sababu ya ushenzi wako..
NaamHuyo sio mwanamke wa kuoa mkuu. Utarudi na uzi wa majuto