Mwanamke mwenye tattoo

Mwanamke mwenye tattoo

Mi mwenyewe ni mshamba kwa wenye tatoo, yaani hata kama nampendaje nikiona kajichora tuu, naamini ni malaya japo siwi sahihi maan sio wote but mwili umegomewaga na akili kabisa.
 
Usikubali achana nae huyo mwanamke, hebu fikiria ukimpeleka kwa ndugu zako wakakagua chuchu pamoja na papuchi halafu wakaiona hiyo tatoo watakufikiria vipi!
 
Mwanangu nilimwahidi hatonyonya ziwa lenye michoro
 
Tatoo kama bango la sportpesa
Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani?
hivi nyie wanawake mna nini?
huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya shetani?
haya sasa nakukosa hivi hivi sababu ya ushenzi wako..
 
Kama wazazi wako watahitaji kuona manyonyo ya mkeo ni sawa usioe. Lakini kama wewe Mwenyewe ndo mshika titi aaahhhh weka ndani chombo
 
Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani?
hivi nyie wanawake mna nini?
huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya shetani?
haya sasa nakukosa hivi hivi sababu ya ushenzi wako..
Mkuu kama tabia yake ni njema oa tena usisikie mineno ya watu.angakua muuza papuchi nisingekushauri wewe mmempendana vuta goma
 
Hiyo tattoo yake ina ujumbe/neno gani..? Tuanzie hapo kwanza, usikute jina la njemba.[emoji16][emoji16][emoji16]

——————————————-
Halafu nyie mnaobweka eti kwani wazazi/ndugu watamkagua mnachekesha sana, kuna muda wa kunyonyesha na hata kuvaa blauzi kata mikono.... kama huyo mwenye nayo hajutii wala hana muda wa kujificha so utabaki kupata tabu wewe mbele za watu.
____________________________________

Kumbuka sifa moja ya tattoo zote, ni lazima ionekane.... lengo la kuchora tattoo sio kujiona mwenyewe bali watu waione.

Zilikuwepo hizi michoro tangu kale, tunakutana na bibi zetu na michoro usoni (huenda na maeneo mengine) ambazo kwa wakati wao zilikuwa fasheni na sasa umri na nyakati zimesonga imebaki mikunyanzi tu usoni.

Huenda aliichora kwa mkumbo tu kulingana na makuzi, au ni kweli kuna kipindi alikuwa kahaba na amejituliza ili anase mme.... uamuzi ni wako kulingana na aina ya maisha yako.

Usile Mbegu.
 
Nija jamaa angu mkewe amemjia na 33333 ya diamoni jaman
 
Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani?
hivi nyie wanawake mna nini?
huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya shetani?
haya sasa nakukosa hivi hivi sababu ya ushenzi wako..
Sio mke huyo kimbia hapo
 
Back
Top Bottom