Mwanamke mwenye timamu unawezaje kusex na mwanaume mwenye mkono wa sweta

Hata mimi siwezi chovya sweta langu kwenye huo mbwawa wako.Big No
 
Duuh yamekua hayo tena ndugu yangu, nilikua natoa experience yangu tu juu ya kile nilichowahi kusikia

Nimekusoma, ila kuna wengine akisikia tu tena kuna kitu positive ndani yake, mfano kama ulivyosema sijui sijui angle zote huguswa na urefu nchi kadhaa huongezeka, anasema lazima nami nijaribu, wapo wengi, I thought you are among them.

Worry not Mkuu
 
Yaaani uingie room na Mimi halafu uondoke hivihivi huyo jamaa mjinga kweli.

Kwanza nina mtindo kabla tukiingia tu room lazima nikubane nikupige kamoja kafujofujo bila ya kusaula nguo zote
 
Nimekusoma, ila kuna wengine akisikia tu tena kuna kitu positive ndani yake, mfano kama ulivyosema sijui sijui angle zote huguswa na urefu nchi kadhaa huongezeka, anasema lazima nami nijaribu, wapo wengi, I thought you are among them.

Worry not Mkuu
okay mkuu, hapana bana kwanza huwa naamini a real man lazima apitie kwa ngariba(circumcised). afu kuna negative effects pia kuhusiana na hayo masweta naskia ile ngozi inatunza uchafu,so ni rahisi kupata na kuambukiza magonjwa.
 
Kwa Tanzania kuna baadhi ya makabila asili wana hayo madude hawayatoi, so akina dada/mama wanaotoka jamii hizo wanaona kitu cha kawaida hasa kwa miaka ya nyuma kidogo, lakini now days campaign za kudondosha mkono sweta ni nyingi sana,hopefully hayapo tena. Na katika campaign hizo, kinachoongelewa ni only the negative side of remaining with mkono sweta tu, including kuhamasisha wadada/wamama kuwakataa hao wenye mkono sweta kama alivyofanya mtoa thread wa leo cutelove . Naona kuna watu wanatumia maneno ya kejeli dhidi yake, lakini sijui ni kwa nini.
 
europe kutahiri ni kama sheria vile
...kwa sababu walitutawala wakatuachia na ustaarabu wao nasi africa imekuwa kama sheria vile

lakini north and south america pamoja na asia kutahiri siyo lazima na asilimiq kubwa ya wanaume wa huko hawajatahiri

sasa nyie dada zangu hapa mnapiga kelele na mnavyojirahisisha kwa ngozi nyeupe sijui ukikutana na ngozi nyeupe govinda utakataa 😂😂 najiuliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…