Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mwali wangu mpaka uzee huu na hamu zimeniiisha za kukulwa sijawahi kukutana nalo govinda na wala sijui lina raha gani
Kungwi wangu nimekuja mbio mbio ili nikuulize maana nasikia mikono ya sweta ina utamu usio na kifani, kumbe nawe hujui?[emoji848]