M Mvidunda Senior Member Joined May 30, 2020 Posts 122 Reaction score 170 Jul 12, 2020 #1 Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
N ngebe JF-Expert Member Joined Jun 8, 2020 Posts 1,789 Reaction score 5,117 Jul 12, 2020 #2 Mbona anatanguliza neno wenye ulemavu wako sawasawa na wasio walemavu? ndio sera yake hiyo? Yeye ajikite kwenye sera aache kusaka advantage ya ulemavu kama ana sera nzuri tutampa kura kama hana sera nzuri hatutamchagua over
Mbona anatanguliza neno wenye ulemavu wako sawasawa na wasio walemavu? ndio sera yake hiyo? Yeye ajikite kwenye sera aache kusaka advantage ya ulemavu kama ana sera nzuri tutampa kura kama hana sera nzuri hatutamchagua over
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jul 12, 2020 #3 ngolani, So what ccm is special for Richest
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,290 Reaction score 2,468 Jul 12, 2020 #4 Haya majina kama si watanzania vile
chase amante JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 5,599 Reaction score 2,115 Jul 12, 2020 #5 Atapata, ila ajitahidi kuwasaidiwa wa