Mwanamke mwenye Umri wa Miaka 35- 42

Mwanamke mwenye Umri wa Miaka 35- 42

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42
Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu.
Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike.
Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana.
Tuwasiliane
NOTE: Hakikisha uwe mkristo, na ni muuzuriaji wa kanisani na jumuia(Mkatoriki).
Tuwasiliane in Box.
 
Mama wa mtoto yuko wapi mpaka umtafutie mlezi mwingine?? Mtoto wa kike anahitaji mama yake katika makuzi yake sababu hakuna mwingine atakaemlea kama mama yake.
 
Back
Top Bottom