Mama wa mtoto yuko wapi?
sema tu unatafuta mke basiNaitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42
Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu.
Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike.
Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana.
Tuwasiliane
NOTE: Hakikisha uwe mkristo, na ni muuzuriaji wa kanisani na jumuia(Mkatoriki).
Tuwasiliane in Box.
PointMama wa mtoto yuko wapi mpaka umtafutie mlezi mwingine?? Mtoto wa kike anahitaji mama yake katika makuzi yake sababu hakuna mwingine atakaemlea kama mama yake.