Mwanamke mzuri ila una "makegete"

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,208
Reaction score
14,143
Ukiondoa wale ambao ni kama ugonjwa ila kwa wengine mliobaki ni uchafu na kutojijali.



Unakutana na bint mzuri kajipamba mwenyewe wanja , shedo , wigi , mikope na mikucha ya bandia, lakini mwangalie mguuni "makegete" yamemjaa utafikiri anashindaga kufyatua tofali za kuchoma.

Mtasingizia viatu vyenu vya wazi ila ukweli mkienda bafuni mnasuguaga Uso tu.
 
Hii ni Research ya Watu wanagapi? Yaan sample Size yako ni ngapi
 

Hujakua wewe yana raha yake kule faragha jaribu halafu ulete mrejesho
 
Kwa msaada tuu ili kuwasaidia wale wenye ayo magaga usiku kabla ya kulala oga vizuri then paka glycerin kwenye unyayo unawezaa vaa Sox ila sio lazima na pia asubuhi kabla ya kwenda kwenye mihangaiko oga then paka tena ndani ya week utaona mabadiliko t
 
Hayo makitu yanatia aibu sana, aibu mwanamke kuwa nayo
 
Hakuna Mwanamke anaependeza kwa kuvaa WIGI, basi akili zao wanazijua wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…