Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Ukiondoa wale ambao ni kama ugonjwa ila kwa wengine mliobaki ni uchafu na kutojijali.
Unakutana na bint mzuri kajipamba mwenyewe wanja , shedo , wigi , mikope na mikucha ya bandia, lakini mwangalie mguuni "makegete" yamemjaa utafikiri anashindaga kufyatua tofali za kuchoma.
Mtasingizia viatu vyenu vya wazi ila ukweli mkienda bafuni mnasuguaga Uso tu.